Naomba msaada wenu katika hili . Je tatizo litakuwa ni Nini haswa? Maana charge percentage ipo above 90 lakini haiwaki endapo nikiichomoa kwenye uememe.
Habari wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye mada, nilikua nahitaji smart watch halisi, isiwe fake, lakini pia iwe na mwonekano mzuri, namaanisha isiwe ndogo sana. Mkinisaidia Aina ikiambana na...
Habar wakuu natumia sim ya Redmi ila sioni sehemu autorotate maaana sim inasumbuasumbua inajirotate rotate Kila mda ..inanifanya kutokua comfortable namatumizi nayo
Wakuu,
Naomba tusaidiane kitu katika uchumi je Afrika ni miongoni mwa bara la watu wengi ambao tunaishi below our means na pia watu wapo chini katika uelewa ikiwemo hata kuandika na pia...
Kwenye harakat za 'Kusaka tonge' Nikajikuta nimedondokea nchini Burundi..Hapa nchini burundi mambo ni rahisi sana sasa napata EXPERIENCE ya ile kauli ya Waziri kuhusu kuhamia burundi kama maisha...
WhatsApp tricks are ways which can help you to use WhatsApp messaging App like a Pro. WhatsApp has become one of the most popular instant messaging apps, used by billions of people around the...
Nina Bajeti ya 1.5M kwa ajili ya TV 55" na 1M kwa ajili ya Music system.
Lengo niviweke Master Bedroom.
Naomba pendekezo la options ambazo sitajutia.
Kwenye TV preference zangu ni true color...
Umechoka tabia ya kuchaji simu mara tatu kwa siku ? Unajua akuna anayependa kumiliki simu afmbayo haikai na chaji.
ni muhimu kuokoa maisha ya betri kuondokana na mambo ambayo yanaweza kuleta...
Nina ps4 , Version yake ni 9.00,
Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa.
Sasa Je, kibongo bongo
A. Nicheze game original ?
B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye...
Natumia TECNO spark 7 tatizo hili ni sugu Katika simu yangu mb zikibaki chini ya 100 nikiwasha data signal za data zinawaka na kupotea hivyo kukosa kufanya chochote kwenye simu yangu...
Habari ya muda huu wadau.
Naomba msaada mwenye kujua , nina simu samsung galax note 8 imetokea tu nachage inajaa nikichomoa kwenye charger inazima nikiweka kwenye chager ikaiwasha inawaka...
Ni Rahisi sana kutengeneza broadcast channel yako kwenye Instagram kama hii [emoji116]
Uzi ni wako.
Kuna feature inaitwa channel broadcast kwenye Instagram Kazi yake ni kukusaidia creator...
WhatsApp soon wataleta feature ya silence caller kwenye simu zetu kuweza kuzuia namba ambazo huzijui kukupiga simu kupitia WhatsApp.
Watumiaji wengi wa WhatsApp Kuna kipindi walikua wanalalamika...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, ni huduma gani ambayo inatoa virtual US addresa bora na affordable for package consolidation kwa ajili ya shopping?
Nataka nikinunua vitu amazon viende...
Habari wana JF,
Mimi ni muuzaji wa movie mbalimbali nina wahudumia wateja wangu kwa kuwawekea movie kwa flash, sasa tatizo moja limenipata nilikuwa naomba msaada nina hddsk TB 4 imejaa movie...
Tuesday 20th June, 2023.
Natural News
New research
Research published in the peer-reviewed journal Cureus on February 2 shows that vaccine uptake is directly correlated to infant mortality...