Habari ya muda huu wadau.
Naomba msaada mwenye kujua , nina simu samsung galax note 8 imetokea tu nachage inajaa nikichomoa kwenye charger inazima nikiweka kwenye chager ikaiwasha inawaka.
Nikichomoa nikawasha haiwaki . Ila imejaa ina asilimia 100. Tatizo linaweza kuwa nini