Fahamu kuhusu Instagram broadcast

Fahamu kuhusu Instagram broadcast

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,283
Reaction score
2,590
Ni Rahisi sana kutengeneza broadcast channel yako kwenye Instagram kama hii [emoji116]

Uzi ni wako.

images%20-%202023-06-21T092043.934.jpg

Kuna feature inaitwa channel broadcast kwenye Instagram Kazi yake ni kukusaidia creator, kuweza kutoa update mbalimbali kuhusu habari, siasa, mpira, movie, games kwa followers wake.

Ndani ya broadcast [emoji116]
  • Utapotengeneza broadcast channel yako followers wako watapata notification [emoji2772]
  • Followers wako wana uwezo wa kuchagua kujiunga au lah
  • Pia wana uwezo wa kutoka au ku mute notifications kwenye channel yako.
  • Watumiaji wote wa Instagram wana uwezo wa kuangalia maudhui yaliyopo kwenye channel yako ivyo wataamua wenyewe kujiunga au lah

images%20-%202023-06-21T093252.658.jpg

Kama unahitaji kutengeneza broadcast channel kwenye Instagram fanya hivi
Fungua Instagram page yako
Fungua sehemu ya message juu upande wa kulia utaona kialama cha peni na karatasi gusa
Utaweza kuona neno create broadcast channel utaweza kutengeneza broadcast channel yako [emoji113]

Vipi umefanikiwa au lah tuachie maoni yako

images%20-%202023-06-20T174530.624.jpg
 
Back
Top Bottom