Fahamu kuhusu silence caller kwenye WhatsApp yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,755
WhatsApp soon wataleta feature ya silence caller kwenye simu zetu kuweza kuzuia namba ambazo huzijui kukupiga simu kupitia WhatsApp.

Watumiaji wengi wa WhatsApp Kuna kipindi walikua wanalalamika Sana wanapigiwa simu na namba ngeni kupitia WhatsApp inawezekana ni wahindi, wachina, Watanzania nk ambazo ni simu za usumbufu.

images%20-%202023-06-20T181154.417.jpg

Sasa WhatsApp ramsi wameachia feature inaitwa silence caller utaweza kuzui namba ngeni kuweza kukupigia simu kupitia WhatsApp.

ila utakua na uwezo wa kuona missed call namba Fulani either Tanzania, Kenya, India , Uganda imekupigia kupitia call iliyopo kwenye WhatsApp.

Lengo la hii feature ni kuweza kumlinda na kumu hakikisha usalama mtumiaji wa WhatsApp kwa kuweza kuzuia kupigiwa pigiwa simu Toka kwenye namba ambayo haja save na haijui

pia atakua na uwezo wa kupata notification namba Fulani imekupigia ivyo ataamua kama kumpigia au lah.

Ingia setting kwenye WhatsApp>> Kisha privacy>> silence caller >> weka On

images%20(15).jpg
 
WhatsApp soon wataleta feature ya silence caller kwenye simu zetu kuweza kuzuia namba ambazo huzijui kukupiga simu kupitia WhatsApp.

Watumiaji wengi wa WhatsApp Kuna kipindi walikua wanalalamika Sana wanapigiwa simu na namba ngeni kupitia WhatsApp inawezekana ni wahindi, wachina, Watanzania nk ambazo ni simu za usumbufu.

View attachment 2663422

Sasa WhatsApp ramsi wameachia feature inaitwa silence caller utaweza kuzui namba ngeni kuweza kukupigia simu kupitia WhatsApp.

ila utakua na uwezo wa kuona missed call namba Fulani either Tanzania, Kenya, India , Uganda imekupigia kupitia call iliyopo kwenye WhatsApp.

Lengo la hii feature ni kuweza kumlinda na kumu hakikisha usalama mtumiaji wa WhatsApp kwa kuweza kuzuia kupigiwa pigiwa simu Toka kwenye namba ambayo haja save na haijui

pia atakua na uwezo wa kupata notification namba Fulani imekupigia ivyo ataamua kama kumpigia au lah.

Ingia setting kwenye WhatsApp>> Kisha privacy>> silence caller >> weka On

View attachment 2663421
nitakuja baadaye
 
Back
Top Bottom