Fanya hivi kuongeza maisha ya Betri lako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Umechoka tabia ya kuchaji simu mara tatu kwa siku ? Unajua akuna anayependa kumiliki simu afmbayo haikai na chaji.

ni muhimu kuokoa maisha ya betri kuondokana na mambo ambayo yanaweza kuleta athari ya kuchaji kila mara.

Uzi ni wako

images%20-%202023-06-21T171740.989.jpg


maisha yetu yamezungukwa na kifaa kidogo ambacho kinafanya mambo mengi kwenye vidole vyetu.

unaweza nunua chakula, kutumia ya mitandao ya kijamii, kupiga simu kuchati nk. Mambo yote yanahitaji betri imara ikiwa sio imara inakera sana.

fanya mambo , yafuatayo kuongeza maisha ya betri kwenye simu yako

Usisahau kutembelea page Yetu ya telegram we search bongotech255 au link

1) ๐—”๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿต๐Ÿฌ%
sio lazima kuchaji simu yako mpaka 100% kila wakati.unaUuweza kuondoa chaji ikifika asilimia 90% tu kwani itaondoa uwezekano wa kuchaji simu kupita kiasi au kuzidisha joto itakusaidia kulinda maisha ya betri la simu yako.

images%20-%202023-06-21T171757.217.jpg


2) ๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฌ%
mara tu betri la simu yako ikifika asilimia 15% au 20% hakikisha unachaji simu usiiache iende hadi 0%. ikiwa una tabia kuchaji mpaka ifike asilimia 0 %.

basi jua uko kwenye hatari kubwa ya kupoteza betri lako kuwa na nguvu ya kuhimili joto na huifadhi.

phone-hero.jpg


3) ๐—ฃ๐—ผ๐˜„๐—ฒ๐—ฟ ๐˜€๐—ฎ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐— ๐—ผ๐—ฑ๐—ฒ
Watu wengi hawatumi power saving mode ila hawajui kuwa inawasaidia sana kuokoa maisha ya betri la simu yako. wale watu wa kutumia sana mitandao ya kijamii, kucheza game, kutizama movies itafanya simu kudumu muda mrefu.

images%20-%202023-06-21T171857.696.jpg



4) ๐—ง๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐—ต๐—ถ ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—–๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ
kutumia kila chaji au kila usb kuchaji simu zetu inaonekana kama ni wazo zuri lakini kunaweza leta athari ya kudumu kwenye maisha ya betri.

Hakikisha chaji unayotumia ni kampuni husika au ikiwa kampuni nyingine ni original ili kulinda maisha ya betri sio kutumia kila chaji.

images%20-%202023-06-21T171751.431.jpg


5) ๐—ข๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ambazo ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ
unajua program nyingi zilizopo kwenye simu huwa zinatumia chaji hata kama hutumi watu wengi hawajui hii. sasa ili kulinda afya ya betri lako.

ni muhimu kuondoa app ambazo sio muhimu au hutumi kwenye simu pia punguza app zilizopo Kwenye home screen.

images%20-%202023-06-21T171827.656.jpg


Vipi unatumia njia Gani kuweza kulinda betri la simu yako kudumu muda mrefu na chaji ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom