sam green
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 183
- 269
Habari wana JF,
Mimi ni muuzaji wa movie mbalimbali nina wahudumia wateja wangu kwa kuwawekea movie kwa flash, sasa tatizo moja limenipata nilikuwa naomba msaada nina hddsk TB 4 imejaa movie, ilikuwa vizur tu, toka mda almst miaka miwili sasa.
Juzi asubuhi nilikuwa nawasha computer, nakuta inawaka inaishia kwenye logo ya windows tuu haiendi mbelee, ikaja kukubali kuwaka, baada ya kuzima washa zaid ya mara 5 katka hddsk zangu zote zinafnguka vizur tu ila hyo moja imekuwa nzito ukifngua folder, zna fnguka kwa kuchelewa movie zilizomo, kama waweka kwa flash zinachukuaa mdaa sana sometimes zinaganda tu.
Hata ukitaka ku copy movie ziende kwa hddsk nyngne, zinagomaa ila kuna wakati zinaendaaa ila mara nyingi zinagomaaa, msaaada nifanyeje ili hddsk iwe kama kawaida au nifanye nini! Ili ku solve hii inshu.
Natanguliza shukran.