Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu kwema, Niende kwenye mada. Ni usiku mnene nikiwa sina hata lepe la usingizi nikiwa natafakari mambo mawili matatu tunayopitia wana wa Adam. Sasa kama binadamu na mmiliki wa Dunia kijiji...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Naweza kufanyaje hapa kurudisha namba yangu kwenye mfumo? Nimepoteza groups,na kumbukumbu nyingi tu, kubwa zaidi namba hiyo ndo namba yenye mambo mengi Sana ya muhimu.
0 Reactions
7 Replies
607 Views
Wadau, kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call...
0 Reactions
6 Replies
771 Views
Mwezi huu nataka kununua simu Janja na mpaka hapa nawaza kununua S23 Or Z Fold 4 . Nisaidie Uchaguzi mzuri na kwa wazoefu tusaidiane.
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini za wakati huu wanajamvi. Naomba mnisaidie namna ya ku-bold na kubadili rangi maandishi! Wasalamu!
4 Reactions
234 Replies
23K Views
Ulivyokuwa na Miaka 14 ulikuwa wapi? Mjue Kairan Quazi, Mfanyakazi wa Elon mwenye Umri mdogo zaidi Genius huyu ameteka vichwa vingi vya Habari baada ya kupost kwenye ukurasa wake wa Linkedin kuwa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
𝗨𝗻𝗮𝗶𝗷𝘂𝗮 𝗚𝗮𝗹𝗮𝘅𝘆 𝗤𝘂𝗶𝗰𝗸 𝘀𝗵𝗮𝗿𝗲 ?? Kuhamisha kitu toka kwenye simu yako ya Samsung kwenda kwenye kifaa chingine ambacho ni Simu au kompyuta unajua ni rahisi sana ? Najua ulikua hujui. Watumiaji wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Naomba msaada wa excell. Naandaa template ya matokeo kwa shule za MSINGI. Sheet 1 nimeweka kwaajili ya kujaza alama. Sheet 2 nimeweka sehemu ya matokeo,yaan madaraja ya kila...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenye link sahihi kupata hiyo game au setup msaada. Mortal kombat 5 Deadly Alliance PC
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nyota ya Mtanzania, Gibson Kawago imeendelea kung’ara baada ya kutajwa katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya ubunifu katika uhandisi Afrika inayoratibiwa na Chuo cha Uhandisi cha Uingereza -...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari, nahitaji kununua TV kwa ajili ya biashara ya kuonyesha mpira Sasa wakuu nauliza TV gani imara na nafuu kwa ajili ya biashara ya mpira banda la kuoneshea mpira. Sent from my Infinix...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Hello wataalamu wa IT naomba link ya kuangalia mpira wa Leo please ni kwenye simu wakuu wangu .
1 Reactions
0 Replies
535 Views
Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
𝗞𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗲𝘁𝗮 inasema muda sio mrefu itaachia feature mpya kwenye Whatsapp ambayo inaitwa Channel, hii ni kama vile broadcast channel kwenye Instagram. Whatsapp Channel ni feature mpya yenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kununua Simu ndogo Simple, Nimeitumia Hii 3310 New Model nakuikubali sana tangu 2017, sasa naona muda imechakaa nataka simple nyingne Feture Phone. Je kuna toleo jengne kali kupta hii au...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habar wakuu, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Nimekuwa muumini mkubwa sana wa whatsapp plus kwasasa nina week tsup yangu ime expire inadai version mpya sasa kila niki download...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu Naombeni Msaada kwa anejua nawezaje kuapata Microsoft Flight Simulator Games. Au kama kuna mdau anazo/anayo. Nimeziona za Ku downloads na Hard copy(cd) Bei ni Balaa. Tafadhali wadau.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekwama sana mwanajamvi mwenzenu, nashida ya DIGITAL CAMERA kwa matumizi ya picha sio video. Je, ni aina ipi ya camera mzuri kwa matumizi za bei kati ya 100,000 mpaka 600,000? Pia kama nanunua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwenye maujanja jamani ya kuweka password kwenye sms bila kutumia applock yeyote ile anijuze. Nimeandika sababu kuna mtu akishika tu cm yangu huwa anapenda sana kusoma sms zangu. Cha ajabu...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Back
Top Bottom