Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina shida na battery ya hiyo pc 0659190552 Hata used ina njia 7
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, ni huduma gani ambayo inatoa virtual US addresa bora na affordable for package consolidation kwa ajili ya shopping? Nataka nikinunua vitu amazon viende...
3 Reactions
15 Replies
716 Views
Habari wana JF, Mimi ni muuzaji wa movie mbalimbali nina wahudumia wateja wangu kwa kuwawekea movie kwa flash, sasa tatizo moja limenipata nilikuwa naomba msaada nina hddsk TB 4 imejaa movie...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tuesday 20th June, 2023. Natural News New research Research published in the peer-reviewed journal Cureus on February 2 shows that vaccine uptake is directly correlated to infant mortality...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina hizi kadi 2 za P5 MINI LED nataka kuziunga ili nipate display ndefu zaidi. Kwa wazoefu hili linawezakana?
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Habari Mimi sio mtaalam kabisa wa makompyuta, nina siku ya pili hapa kwenye kompyuta yangu najaribu kupiga windows 10 lakini nakutana na changamoto hii. Ikiwaka inakuja hivyo kwenye picha na...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya...
0 Reactions
5 Replies
844 Views
Habari wakuu: Kichwa cha thread kinajieleza naomba mnisaidie njia ya kufoward email zangu zikiingia tu kasha la kupokelea zije moja kwa moja kwenye inbox ya kawaida kama SMS. Nimegoogle...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Jinsi ya kutengeneza virusi hatarishi Tunaishi kwenye ulimwengu wa Teknolojia ambapo wengi wetu tunatumia simu au kompyuta kufanya mambo mbalimbali ulimwenguni. Najua umeshawahi kusikia kuhusu...
1 Reactions
2 Replies
919 Views
Habari, PC yangu inatatizo la kutokukaa na chaji muda mrefu tangia nilivyo inunua (renewed). Je, kuna uwezekano wa kurekebisha ili tatizo? Na kama hamna, ni betri gani ninunue ambayo itaweza...
0 Reactions
4 Replies
491 Views
  • Poll Poll
Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake Napendelea kampuni ya...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Nimetengeneza Web Application ya majaribio kwa kutumia Flutter na nimei deploy kwenye platform ya Vercel. Link hapa chini.. 👇 Bonyeza Link 👉 👉 🔗 FITNESS APP Ukiifungua itakuja pop up...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wako, nina tatizo kwenye account yangu ya Facebook. Kuna mtu inaonesha kabadili Password Email pamoja na namba za Simu, naomba msaada wa kuirudisha. Natanguliza Shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Umeshawahi kujaribu hizi Apps !!! Mwaka 2022 mwenzi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !! Tm Whatsapp Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wadau, Natafuta hizi earphone za Bose nimezielewa sana, zinatoa mziki quality balaa, Tafadhali mwenye connection(Mwenyenazo aniuzie)
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwenye camera ya mbele samsung A7-2017 pesa mfuko wa shati
1 Reactions
0 Replies
408 Views
Uber itaanza kuweka matangazo katika app zake mbili, app ya Uber ambayo inatumika kuita usafiri (gari, bajaji, pikipiki n.k) na katika app ya Uber Eats. Watumiaji wa app hizi wataona matangazo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi unajua simu yako inaweza kukurahisishia kufanya mambo mengi kwa haraka najua wengi walikua hawajui hii. Kwenye simu Kuna kitu kinaitwa action & Gesture kazi yake ni kukusaidia kukurahisishia...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana. Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa. Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako...
15 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom