Technological entrepreneurship

Technological entrepreneurship

Joined
Jun 5, 2019
Posts
5
Reaction score
0
Wakuu,

Naomba tusaidiane kitu katika uchumi je Afrika ni miongoni mwa bara la watu wengi ambao tunaishi below our means na pia watu wapo chini katika uelewa ikiwemo hata kuandika na pia adaptability ya mitandao na current tech ngoja niende kwenye je kampuni za kiteknolojia zitawezaje kutake off the ground ikiwa watu wengi wapo katika hali ya chini ya maisha?
 
Back
Top Bottom