Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Natumia TECNO spark 7 tatizo hili ni sugu Katika simu yangu mb zikibaki chini ya 100 nikiwasha data signal za data zinawaka na kupotea hivyo kukosa kufanya chochote kwenye simu yangu inayohusianana na internet. Nawapigia halotel wanajibu niongeze salio. Mbona tigo hakuna huu ujinga? Hadi mb. Zero? Msaada kwa wale wanaofahamu.