Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!

Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
Umeshawahi kujaribu hizi Apps !!!

Mwaka 2022 mwenzi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !!

Tm Whatsapp
Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods kuanzia Yowhatsapp, Plus & Gb Whatsapp ni Tm Whatsapp ni app Bora sana kuwa nayo kwenye simu kwani imepakuliwa na zaidi ya watu million 10 ikiwa na maajabu mengi

  • utaweza ku freeze | pause | fake last seen
  • Ina vpn proxy kuifungua Whatsapp zilizo fungwa
  • unatuma message nyingi kwa watu wakati mmoja.
  • sleep mode(utazuia intaneti kwenye Whatsapp)
  • pia anti revoke unazuia ujumbe kufutwa kwenye Whatsapp yako nk

OTO music
Je unapenda kusikiliza kitu ikiwa na sauti ya kuvutia zaidi, basi tumia Oto music ikiwa wewe mpenzi wa kusikiliza Quran, nyimbo , injiri au kitu chochote kile kwa sauti yenye kupendeza tumia Otto
  • muundo wake ni mzuri
  • ni rafiki kila mtu anatumia
  • ni offline hivyo huitaji bando
  • unaweza soma lyrics ya kitu pia hata ku editi wewe mwenyewe nk.

Brave Private web browser
Ukiwa na hii app huko salama mtandaoni kwa asilimia 70% kwani ni ngumu kuathiliwa na virusi kwenye simu yako. Ni app nzuri sana ikiwa unapenda kupakua vitu mtandaoni.
  • hiko faster kutafuta kitu ni zaidi ya Chrome , Mozilla
  • ulinzi wake ni mkubwa sana utakua salama ukitumia hivyo zile link au website hatarishi utazuiwa kuingia.
  • private browsing hakuna mtu atakayeweza kupata access ya vitu ulivyotafuta nk

goClean : Pop up ad dector
Ikiwa unahitaji kutafuta app ambayo Ina spy vitu vyako kwenye simu Basi Tumia hii ni nzuri sana kwani utajua kama Kuna app inafuatilia mambo yako bila wewe kujua kuanzia Ile spy camera pamoja na kuzuia matangazo.

1Tap cleaner (clear cache)
Je una wasiwasi na simu yako kuishiwa na nafasi basi 1Tap cleaner ni app nzuri kuwa nayo kwenye simu yako kwani inakusaidia kuongeza nafasi kupitia ku clear app zote ulizotumia ili kuipa nguvu zaidi simu kuondoa tatizo la kujaa kwa haraka zaidi.
  • clear apps
  • clear all cache file
  • uninstall apps nk

Ziko telegram search #bongotech255
 
Hiv hakuna app ya WhatsApp inayoruhu user kutumia account mbili au zaid ndan ya app moja kama ilivyo kwa telegram?
 
Hiv hakuna app ya WhatsApp inayoruhu user kutumia account mbili au zaid ndan ya app moja kama ilivyo kwa telegram?
Kuna app nilikuwa natumia mda kidogo ilikuwa inaitwa parallel space ilikuwa una uwezo wa kutumia account mbili kila app mfano Facebook WhatsApp na Instagram unakuwa na account mbili bili shida yoyote.
 
Intruder selfie
Hii itakusaidia kupata picha ya Yule mtu alojaribu kutoa lock (password) kwenye simu yako na akashindwa.
Simu lazima iwe na font camera 🧐
 
Back
Top Bottom