Windows 10 CD installation inasumbua mnisaidie

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
318
513
Habari
Mimi sio mtaalam kabisa wa makompyuta, nina siku ya pili hapa kwenye kompyuta yangu najaribu kupiga windows 10 lakini nakutana na changamoto hii. Ikiwaka inakuja hivyo kwenye picha na nikiingia Boot menu na kuselect CD

Mara inawaka moja kwa moja. Wakati mwingine inaanza Kama unataka kukubali ina search then mlango wa CD unapiga kelele kama alarm halafu linawaka Tena kawaida.

Siku ya pili sijainuka hapa naomba MNISAIDIE ndugu zangu, nipo tayari kulipia gharama pia maana huku kijijini nilipo hakuna fundi, yupo umbali mrefu mno.

Najua wapo wajuzi mkuje wakuu

IMG_20230619_225326_029.jpg
 
Habar
Mimi sio mtaalam kabisa wa makompyuta,Nina siku ya pili hapa kwenye kompyuta yangu najaribu kupiga windows 10 lakini nakutana na changamoto hii.ikiwaka inakuja hivyo kwenye picha na nikiingia Boot menu na kuselect cd

Mara inawaka moja kwa moja
Wakat mwingine inaanza Kama unataka kukubali ina search then mlango wa cd unapiga kelele Kama alarm halafu linawaka Tena kawaida.

Siku ya pili sijainuka hapa naomba MNISAIDIE ndugu zangu nipo tayari kulipia garama pia maana huku kijijin nilipo Hakuna fund yupo umbali mrefu mno.

Najua wapo wajuzi mkuje wakuuView attachment 2662645
Jamani hadi leo unatumia CD kuinstall Windows mkuu? Si utengeneze bootable flash fasta tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom