Rdj Shibo Member Joined Jan 5, 2018 Posts 81 Reaction score 53 Jun 17, 2023 #1 Naomba msaada wako, nina tatizo kwenye account yangu ya Facebook. Kuna mtu inaonesha kabadili Password Email pamoja na namba za Simu, naomba msaada wa kuirudisha. Natanguliza Shukrani.
Naomba msaada wako, nina tatizo kwenye account yangu ya Facebook. Kuna mtu inaonesha kabadili Password Email pamoja na namba za Simu, naomba msaada wa kuirudisha. Natanguliza Shukrani.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 12,632 Reaction score 35,948 Jun 17, 2023 #2 Ngoja waje wanaotumia Facebook
Mr sule JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 606 Reaction score 1,115 Jun 17, 2023 #3 Imepotea hiyo fungua nyingine.
Mr sule JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 606 Reaction score 1,115 Jun 17, 2023 #4 Mwambie akurudushie account yako kama kweli namba umeona amebadili na email
Rdj Shibo Member Joined Jan 5, 2018 Posts 81 Reaction score 53 Jun 17, 2023 Thread starter #5 Mr sule said: Imepotea hiyo fungua nyingine. Click to expand... Dah hakuna njia kwer
Clayton Paul JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 2,181 Reaction score 4,568 Jun 17, 2023 #6 Mwana umelogin wapi hadi login detail zako kuwa exposed in a third party data bleach