Natafuta External Hard Disk

Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Habari wakuu, natafuta external hard disk yenye ukubwa wa 500GB kwa bei nafuu, kama kuna mtu anauza, au kujua mahali naweza pata nzuri na kwa reasonably cheap price.
 
Back
Top Bottom