Baada ya Kugundua KIIRA EV, wanafunzi wa Makerere Univ waja na Robot | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Kugundua KIIRA EV, wanafunzi wa Makerere Univ waja na Robot

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sekulu, Jun 6, 2012.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni vema sana kusikia hata kwa kias kidogo Africa Mashariki kuna watu wanaoweza kutengeneza Vitu ambavo hapo Zamani ilikua ni ngumu kusikia vimetengenezwa Africa Mashariki.

  Wailianza kutengeneza Kiira EV, gari ambayo inatumia umeme, na Sasa wanafunzi wa kitivo Cha Tekinolojia Chuo kikuu cha Makerere Kampala wameweza kutengeneza Robot kwa ajili ya kutegulia mabomu. Ni dhahiri kwamba kiwango hakitokua kama wenzetu lakini Tujivunie hivo hivo!
  Naiweka Hapa!!
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  hivi unafikiri tatizo la wasomi wetu ni creativity? la hasha ila mpaka kile walichokifanya kiwe adopted ni tatizo. wazungu wanaua intelect mind za waafrika simply because wanataka kuwa juu kuliko ngozi nyeusi. niambue hilo gari walilotengeneza limeshakuwa commercialized?
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  safi sana mfano wa kuigwa
   
 4. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Bado halijawa Commercialised lakini tatizo ni kwamba kuna improvements ambazo zinatakiwa kufanyika kwani kwa sasa lile gari uwezo wake wa kuhifadhi umeme ndo tatizo, linauwezo wa kutembea KM 100, then uipark for 3hr uchaji ili iweze kutembea km 100. Pia Speed ya ile Gari bado haijawa improved, I think inatembea 30KpH au ni 50KpH. So there are number of things to be done for it to go on MkT!
   
 5. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama tatizo ni charging system ambayo kwa maelezo yako inaonesha ni solar power zinatumika kwa nini wasingeiwekea Wind mills wakati inatembea zikawa zinazunguka na kuzalisha umeme wa kutosha ili kuepuka kusimama ili kucharge batery zake.Na kama nguvu ya umeme unaozaliswa ni ndogo hivyo gari kukosa speed kwa nini wasiweke step up transformer?Au unadhani hivi vyote hawavijui?.
   
 6. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  NI wazo but sijajua utekelezaji wake
   
Loading...