Kuangalia tv kwenye phone

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
Simu yangu ni Nokia 5700 nauliza kama ninaweza kuchek tv kwenye simu na taratibu za kufuata samahanini kama heading yangu itakuwa imekaa vibaya tafadhal nisaidieni
 
nisaidie kwanza jinsi ya kuangalia TV kwenye nokia 71 na mm ntakusaidia
 
Jaribuni kutafuta apps za channels Mfano aljazeera kuna ka app kao just Google .....
 
kuangalia tv wakati simu yako haina livestreaming kwa ajili yakuoneshea hizo chanel za tv..
 
safi sana mkuu tafuta na ya mpira basi. Japo huwa napenda kuangalia dstv kupiti vodacom lakini jamaa wana gharama sana naweza kupata bei raisi kidogo.?

Huwa unafaneje embu nipe ujanja mkubwa
 
Nenda kwenye nokia store search SPB TV app huwa inachannel kibao.
Inaonekana una bundle za kutosha..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom