Tigo wabadilisha firmware ya modem zao (e153). | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo wabadilisha firmware ya modem zao (e153).

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Loyal_Merchant, Jun 6, 2011.

 1. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Katika kile kinachoonekana kukabiliana na uharamia, tigo wameamua kupambana na uchakachuaji wa modem zao kwa kubadili firmware ya modem hzo na kufanya kaz ya kuchakachua kuwa ngumu kdogo. Kwan kwa sasa modem hzo unapoziwekea line nyngne hazleti tena optn ya kutaka unlocking codes. Kuna yeyote mwenye idea n jnc gan hzo modem znaweza chakachulika..?
   
 2. d

  doctore. Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imbombo jilipo
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  mbombo ngafu naloli, wabongo kwa kupenda dezo tunaongoza
   
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hehe ni rahisi mnooooooooooooooo!!!! sasa hapa ndio umuhimu wa flash code unakuja!!! kwa kawaida dashboard ndio muhimu...anyway ngoja niwaambie inatakiwa uiflash firmware uweke ya zamani ni rahisi mno ngoja niende Chimbo nikirudi namaliza kila kitu!!!
   
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ulinkafu?? Inguku syako sigonile??
   
 6. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  yeah!!!!i did it so naanzisha thread nyingine kwa ajiri ya Elimu kwa umma. kazi za kujitolea
   
 7. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
 8. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwani kui unlock modem ndio inakuwa internet dezo. ?
  hakuna cha dezo. unatumia fezwa kama kawaida ila tu unakuwa huru kutumia modem mitandao yote.
  labda useme tunapenda kuwa huru......:becky:
   
 9. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  halafu hili co jukwaa la siasa, hili ni jukwaa la technolojia, tunadiscus mambo ya technolojia, hamna mtu anayetaka dezo, we are discusing on how technology goes on. If you have nothing to contribute t z beta to stay n watch.
   
 10. faszar

  faszar Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm mdem la tigo E153 limenishinda nisaidieni
  :A S 20:
   
Loading...