Msada plz... modem ku disconnect( huawei mobile patner) nitawezaje kuzuia hili tatizo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msada plz... modem ku disconnect( huawei mobile patner) nitawezaje kuzuia hili tatizo?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sakasaka, Jun 9, 2012.

 1. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kama kuna software au any trick ya ku solve hli tatizo.. ili iki disconnect iweze connect yenyewe.. masada plzzz!!
   
 2. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,111
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  mkuu haupo brief ina disconnect ukifanya nin
   
 3. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ina disconnect nikiwa na download.. hasa nikiacha inadownload kitu kikubwa nikikambali kwa muda ina disconnect yenyewe sasa hpo mpaka ni connect tena ndio niweze endelea..so kama kuna trick ya ku solve hli tatizo!
   
 4. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwani una2mia windows gani kaka? Kwa windows 7 huwa kuna connections kwa chini kbsaa upande wa kulia pale ambapo huwa unaconnectia wireless connections, na huwa wanaonesha kama uko connected na available networks pia.

  cha kufanya select hyo access point unayotumiaga kwenye hyo mobile partner let say Tigo, au Zantel au Airtel.. Then right click it afu chagua option ya properties... Baada ya hapo nenda sehemu ya options kwa chni kuna Redialing options
  Redial attempts utaona 0 weka 99
  Time between redial attempts chagua 1 second
  Idle time before hanging up chagua Never
  Idle threshold
  Rediaf if line is dropped pamark/make sure unapaweka tiki
  then press owkie.
  Afu njoo kwenye hzo accesspoint chagua hyo hyo uliyotoka kuset right click afu connect.

  N:B hii inawork guwd kwa Torrent applications na windows updates, kwa IDM it doesnt work
   
 5. rickymj

  rickymj Senior Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  haifanyi kazi kivipi kwenye IDM
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  cdma modem au gsm?
   
 7. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa IDM ku recönnect tena kama imejidisconnect, huwa inabidi idial connection yenyewe independent na sio computer kama computer! Hzo settng za hapo juu ni za kuifanya computer ikonect sio IDM
   
 8. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  jamani mm katika pitapita nimefanikiwa kupata hii hAcx Internet Auto-Dialer - CNET Download.com ukisha download weka interval ya 15 sec ili iwe inacheki yenyewe kama kuna disconnection iweze connect....kwa mm imenisaidia
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ngoja nifanyie kazi hii kitu....
  Thanhs Mkuu...
   
 10. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hii inaweza ikafaa kwa mordem ya zantel kutumia kwa PD- ...... mwenye kujaribu atujuze kama inafaa
   
 11. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  yah hii inafaa mm nimetumia.. coz ikikatika ina connect yenyewe pia kama ukiwa unatumia PD- use this oftware Express Files ku search na downloads za movie or any u want pia mm imenifasana!
   
 12. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  thanks good software
   
Loading...