Habarini Wadau wote humu. Naombeni msaada nahitaji kujua simu yenye kamera inayotoa picha Bora zaidi kwa matumizi ya kibiashara. Picha inayoonesha uhalisia wa kitu na mazingira. Ili wateja wakiona...
Nimenunua simu ya Infinix HOT 12i hata mwaka haujaisha juzi ghafla imekufa bila kudondoka hai display chochote naombeni msaada tafadhali anayejua sababu
Nimekutana na mtu ana Bluetooth speaker inaitwa Lenyes s106,ina mziki mzuri sana ni ndogo lakini ina Bass nzuri, mwenye kuzijua tafadhali, kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua, ubora wake ukoje?
Kama ulidhani kuwa Samsung Galaxy S23 Ultra na Xiaomi 13 Ultra ndio simu bora za Android mwaka 2023 basi hujaiona simu mpya inayotarajiwa kuachiwa kesho July 11 kutoka kwa kampuni ya Kichina ya...
Habari za muda huu wajameni natumai mko salama kabisa nami ni mwingi wa afya. Baada ya salamu husika na kichwa cha uzi huu hapo juu.
Dah leo app ya Azam Tv Max kwangu nikiifungua inaniandikia...
Heading inajieleza wana jamvi,
Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
Wakuu habari za humu, naomba msaada wa kutajiwa TVs bland nzuri kwa bei ya laki mbili mwisho ndo bajeti yangu, nipate tv flat inayoendana na hela yangu, natanguliza shukrani ๐๐
Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop...
naombeni msaada kama kichwa cha msg hii kinavyojieleza hapo juu namba yangu nikijiunga na whatsap inaniandikia you need the official account to use these.
Wandugu nahitaji kununua darubini kionambali naomba kama kuna anayejua aina zake ubora wake bei zake na mahali zinapopatikana hapa tanzania.
Na je sheria hazina tatizo juu ya umiliki wa darubini...
Wadau niaje?
Naomba kujua kwa wenye uzeofu na subwoofer, ipi ni brand nzuri, ina mdundo mzuri na inajitahidi kudumu.
Ukiweka na bei utakuwa umenisaidia sana!
Wadau wa JF nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.
Naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu, nichukue simu ipi kati ya hizo mbili hapo juu Kwa kutazama
Performance, quality...
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja...
Wakuu salama umu?
Kuna simu nilikuwa nayo ukipiga simu inakata mtandao mpaka umalize kuongea na mtu sasa nimebadili simu na natumia.
Voda ila nikipiga simu internet haikati isipokuwa ina...
Wakuu matumani ni wazima naomba kuuliza kati ya Samsung note 9 na redmi note 10 pro simu ipo ni nzuri nataka nichukue moja wapo kati ya hizo bei kwa sasa zinalingana
Wakuu, niwe brief ili nanyi muwe brief na hatimaye nielewe, Ni njia gani salama ambayo supplier anitumie vitu vyangu nikiwa mkoa tofauti na Dar Es Salaam?
Kuna njia nyingi suppliers...