Naomba kujua simu yenye kamera bora na nzuri zaidi kwa ajili ya picha za kibiashara

Fereke

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
270
753
Habarini Wadau wote humu. Naombeni msaada nahitaji kujua simu yenye kamera inayotoa picha Bora zaidi kwa matumizi ya kibiashara. Picha inayoonesha uhalisia wa kitu na mazingira. Ili wateja wakiona picha ya bidhaa na uhalisia uwe hivyo hivyo bila kupoteza ubora.

Nahitaji kwa haraka. Gharama zozote lakini value for money. Maana Kuna mtu aliwahi tuelekeza tununue Oppo zile walikuwa wanauza Vodacom, nililinunua sh 800,000 au 900,000/= lakini picha zake ni tofauti kabisa na viwango vya uwezo wa kamera ulioandikwa kwenye specifications zake, poor quality na si halisi.

Baada ya kuitumia kwa miezi michache ndio imekuwa na picha mbaya zaidi, ni mara elfu 10 picha za Infinix ni nzuri.

Tafadhari wadau. Natanguliza shukrani.
 
Habarini Wadau wote humu. Naombeni msaada nahitaji kujua simu YENYE KAMERA inayotoa picha Bora zaidi kwa matumizi ya kibiashara.. picha inayoonesha uhalisia wa kitu na mazingira. Ili wateja wakionabpicha ya bidhaa na uhalisia uwe hivyo hivyo bila kupoteza ubora.
Nahitaji kwa haraka.
Gharama zozote lakini value for money.
Maana Kuna mtu aliwahi tuelekeza tununue Oppo zile walikuwa wanauza Vodacom.. nililinunua sh 800,000 au 900,000/= lakini picha zake ni tofauti kabisa na viwango Vya uwezo wa KAMERA ulioandikwa kwenye specifications zake, poor quality na si halisi. Baada ya kuitumia kwa miezi michache ndio imekuwa na picha mbaya zaidi.. ni mara elfu 10 picha za Infinix ni nzuri.
Tafadhari wadau. Natanguliza shukrani.
Samsung Gallaxy Camera
 
Tafuta Samsung S10,S22,S2,Au note 10

Google pixel 4,5,6,7
 
Screenshot_20230703-212852_(1).png
iphone 14 pro max. 😁
 
Kama ni kwaajili ya picha zenye full details na kukupa uhalisia kwa bajeti yako ni pesa ndogo ila usijari nunua simu used toka nje za ma kampuni yafuatayo
1) GOOGLE PIXELS ( Camera nzuri na inakupa high contrast ambayo hauipa picha uhalisia ang'avu Aina tafuta kuanzia 6pro au 4xl au 5xl used in good condition nenda kariakoo kwenye maduka used ya simu usinunue kwa mtu au a giza online kama upo mbali
2) IPHONE (hawana u tofauti na Google pixels ila tafuta kuanzia IPHONE 11 na kuendelea ukikosa sana basi hata X kwa bajeti yako unaweza Pata used
3) HUAWEI ( tafuta kuanzia P30 na kuendelea )
4) SAMSUNG S series na NOTE series 9 10 20 (Hawa jamaa wako vizuri in terms of details /pixel hata uki zoom picha bado inabaki katika u bora ule ule contrast ya picha zao mara nyingi hubaki na uhalisia hivo kuto kukupa muonekano unaoufikiria kibiashara Ila kama mtundu wa simu SAMSUNG weka chaguo namba moja wako poa sana hasa ukijua kucheza na contrast ya picha kwenye ku edit

Kwa ma kampuni mengine u bora wa picha unategemea na na mpigaji na uzoefu ila hizo za juu hata kama sio mzoefu unaweza Pata picha ukaridhia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom