Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Wakuu, niwe brief ili nanyi muwe brief na hatimaye nielewe, Ni njia gani salama ambayo supplier anitumie vitu vyangu nikiwa mkoa tofauti na Dar Es Salaam?

Kuna njia nyingi suppliers wanazipendekeza, Kwa mfano,

1. DHL - Hii ni salama na inapatikana mikoani ila ni expensive sana.

2. FEDEX - Rahisi kidogo ila sina uhakika kama mikoani mfano mwanza wanapatikana.

3. Kwa P. O. Box - Inapatikana kote na bei nafuu ila nasikia posta wezi. Ni ngumu mzigo kufika salama.

3. Express International - Hii inakuwaje ?

4. UPS - Nayo inakuwaje ?

5. USPS - Hii nayo ikoje ?

6. Ems

Kuna watu humu wanashuhudia kuwa wanaagiza mara nyingi, je mnatumia njia gani? Karibuni
 
Ongeza
6. EMS

Je mzigo ni mkubwa au mdogo?
Unatokea wapi huo mzigo?

Haya maswali mawili yatatusaidia tukupe pendekezo sahihi.
 
Wakuu, niwe brief ili nanyi muwe brief na hatimaye nielewe
Ni njia gani salama ambayo supplier anitumie vitu vyangu nikiwa mkoa tofauti na Dar Es Salaam?
Kuna njia nyingi suppliers wanazipendekeza, Kwa mfano
1. DHL - Hii ni salama na inapatikana mikoani ila ni expensive sana
2. FEDEX - Rahisi kidogo ila sina uhakika kama mikoani mfano mwanza wanapatikana
3. Kwa P. O. Box - Inapatikana kote na bei nafuu ila nasikia posta wezi. Ni ngumu mzigo kufika salama
3. Express International - Hii inakuwaje
4. UPS - Nayo inakuwaje?
5. USPS - Hii nayo ikoje?

Kuna watu humu wanashuhudia kuwa wanaagiza mara nyingi, je mnatumia njia gani?
Karibuni

Tumia Posta mkubwa ukitumia Fedex na DHL utaumizwa sana

UPS/USPS ni postal services zote na hiyo express international nafikiri nao ni posta

Mkoani Fedex/DHL kuna baadhi ya sehemu hawana office
 
Mm napenda sana Royal Mail International signed bei rahisi ila 7days unakifaa chako

Cheapest yake ni Royal mail(small packets) lkn hii walau 14days utakua na mzigo ila sometimes 9days ushafika Dar wakizubaa ndo utaupta baada ya 14days

Hii ni kwa mizigo UK/US tu
 
Ongeza
6. EMS

Je mzigo ni mkubwa au mdogo?
Unatokea wapi huo mzigo?

Haya maswali mawili yatatusaidia tukupe pendekezo sahihi.

1. Tablet - toka canada
2. Mipira ya miguu - USA
3. Flash - Hong Kong
 
Kwa #1 na #2
  • Tumia United States Postal Service USPS mizigo yote utaipokelea Posta [ kwenye P. O. Box yako uliyojaza ]
  • Shipping cost ni ndogo
  • Itafika bila shaka yeyote
  • Utapewa tracking No.
  • Mzigo utaupata baada ya siku 14 - 21
Kwa #3
  • Fanya mawasiliano na omba wakusafirishie kwa ARAMEX
  • Mzigo utafika dar ndani ya siku 5-8 za kazi
  • Ila hakikisha anakuwepo mtu dar wa kukuchukulia, ili akutumie huko uliko kwa basi
  • Utapokea mzigo bila ya kuwepo kwa usumbufu wowote kama ilivyo kwa DHL
Njia zote tajwa hapo nimezitumia

Asante sana. Je kuna tofauti kati ya USPS na UPS?
 
je kama nimeagiza tv toka UK inakuwaje gharama za usafiri na nimtumie njia ipi iliyo bora na nafuu
 
  • Zote zinatoa huduma za posta
  • Ila USPS[United States Postal Service] ni ghalama nafuu ukilinganisha na UPS [United Parcel Service]
Pitia hii link USPS vs UPS >>>SHIPPING BATTLES 2014
Wakuu, niwe brief ili nanyi muwe brief na hatimaye nielewe, Ni njia gani salama ambayo supplier anitumie vitu vyangu nikiwa mkoa tofauti na Dar Es Salaam?

Kuna njia nyingi suppliers wanazipendekeza, Kwa mfano,

1. DHL - Hii ni salama na inapatikana mikoani ila ni expensive sana.

2. FEDEX - Rahisi kidogo ila sina uhakika kama mikoani mfano mwanza wanapatikana.

3. Kwa P. O. Box - Inapatikana kote na bei nafuu ila nasikia posta wezi. Ni ngumu mzigo kufika salama.

3. Express International - Hii inakuwaje ?

4. UPS - Nayo inakuwaje ?

5. USPS - Hii nayo ikoje ?

6. Ems

Kuna watu humu wanashuhudia kuwa wanaagiza mara nyingi, je mnatumia njia gani? Karibuni
mkuu, kwa upande wangu toka nimeanza fanya shopping online nimepokea mizigo kwa Courier Companies zifuatazo.
Mizigo yote hii nimeipokea posta isipokuwa UPS, FedEx na DHL huwa napokea kwenye ofisi zao huku Arusha.
--->> Mahali nilipo (Destination)---> Arusha..

1. USPS (First Class Mail Int'l): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 14-24 kutokea USA..

2. USPS (Priority Mail Express Int'l): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 7-14 kutokea USA..

3. Royal Mail (International Signed): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 8-12 kutokea UK..

4. Royal Mail (Small Packets): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 8-14 kutokea UK..

5. UPS: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 4-8 (from any International Location)..

6. FedEx: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 3-8 (from any International Location)..

7. DHL: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 3-7 (from any International Location)..

8. China-post (Registered Mail): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 15-60 kutokea China..

9. China post (EMS): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 5-14 kutokea China..

10. TNT: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 4-8 kutokea China..

11. Swiss post: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 15-45 kutokea China..

12. Standard Int'l: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 9-28 kutokea USA, 14-35 kutokea Asia, na 5-10 kutokea Europe..

13. Economy Int'l: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 21-45 kutokea China..

14. Hong Kong Post Airmail: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 15-60 kutokea China..
 
Brakelyn, nashukuru kwa ushuhuda wako. Mimi nipo mwanza ila sina S. L. P, nikiandika Jina langu, sehemu ninayokaa, namba ya simu, mkoa na nchi ina maana huo mzigo nitakwenda kuuchukua POSTA?
 
Last edited by a moderator:
Ogopa DHL kitu cha 300$ utawekewa kodi ya 100$
Kivipi! na kwa mizigo ya aina gani? Hata kama ni simu au tablet? Wana calculate vipi?

Homepage upate ufumbuzi na mazungumzo na wahandisi maridadi
aaah C6 nini hiki tena ndani thread isiyo husika.

Tumia Posta mkubwa ukitumia Fedex na DHL utaumizwa sana
Nataka kuagiza simu/tablet. Je nikikutana na FREE SHIPPING bado ntahitajika kuwalipa DHL, pesa nnayolipa kama ada ya shipping online huwa inakwenda wapi mpaka nihitajike kuwalipa tena DHL. Na nnapowalipa DHL huwa nnalipia shipping cost au kitu gani? Naomba mwongozo wenu.
 
Last edited by a moderator:
Kivipi! na kwa mizigo ya aina gani? Hata kama ni simu au tablet? Wana calculate vipi?

aaah C6 nini hiki tena ndani thread isiyo husika.

Nataka kuagiza simu/tablet. Je nikikutana na FREE SHIPPING bado ntahitajika kuwalipa DHL, pesa nnayolipa kama ada ya shipping online huwa inakwenda wapi mpaka nihitajike kuwalipa tena DHL. Na nnapowalipa DHL huwa nnalipia shipping cost au kitu gani? Naomba mwongozo wenu.

Ukiona freeshipping basi jua hiyo ni posta lakini ukikuta wamekwambia DHL shipping 40$ basi hiyo ni shipping fee lakini mzigo ukitua Dar ukiwa mshamba DHL wanakupigia ushuru 18% VAT NA 10% custom duty/import duty
ukikomaa kwa Tablet hauwezi kutolewa tax lkn ukiwa mshamba inakula kwako
 
kwani hamna sheria zinawaongoza mpaka mimi nikomae ndo nisilipe ushuru!!! duuh! mpaka naogopa unaweza nunua mzigo kwa bei nafuu halafu ukaingia hasara. Je? Mbali na table na simu ni bidhaa gani nyingine ambazo hazitozwi??
 
Navyojua vitu ambavyo serikali inavipa kipaumbele ni Kilimo,Elimu na Afya

Hivo material iliyo related na Elimu e.g Tablet na laptop,Kilimo e.g Mbegu au tractor na vitu vya afya e.g Stethescope/thermometer etc havitozwi ushuru hivi hivi nsijue kama umenunua kibiashara e.g 10pcs za Tablet hapa wanaweza kukutoza ila for personal use au instituon use havitozwi

Wameelezea kwenye tovuti ya TRA lkn sidhani kama simu ina qualify by any means kuwa educational material ndo maana watu wanapigwa kodi
 
Back
Top Bottom