Xiomi Redmi note 12 4G Vs Samsung Galaxy note 9

codifier

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
439
854
Wadau wa JF nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu, nichukue simu ipi kati ya hizo mbili hapo juu Kwa kutazama
Performance, quality and technology.

Zote ni 128gb Memory.

Karibu Kwa maoni na ushauri mana nimechoka kutumia Infinix.

Nimeandaa cash 500k.
 
Kama unapata mpya kwa bei sawa chukua Samsung Galaxy Note 9
Ila kuwa makini, hizi Note 9 zilikuwa na matatizo mengi mfano kioo chake kupata green tint issue. Nimeona Note 9 kama tatu hivi zilizokumbwa na hili tatizo na mitandaoni nimeona case nyingi sana, sijui hata ngapi
Kama unataka current software nunua Redmi Note 12 na of course utapata features nyingi kwenye Redmi Note 12 kuliko Galaxy Note 9

Kama unaweza kudownload custom ROM basi download kwenye hiyo Galaxy Note 9 ili uweze kupata walau current software "Android 13" ingawa ni risky

Binafsi ningechukua Redmi Note 12 kwa sababu Galaxy Note 9 imepitwa na muda na bado ipo Android 8 huko. Najua itakuwa refurbished tu. Matatizo kibao
 
Ahsante kiongozi Kwa ushauri mzuri, nitazingatia sana ushauri wako
 
Wadau wa JF nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu, nichukue simu ipi kati ya hizo mbili hapo juu Kwa kutazama
Performance, quality and technology.

Zote ni 128gb Memory.

Karibu Kwa maoni na ushauri mana nimechoka kutumia Infinix.

Nimeandaa cash 500k.
Kama juu ulivyoshauriwa kama huna uzoefu na simu nunu Note 12, na bei elekezi ni Around laki 4.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom