Msaada Samsung note 9 vs redmi note 10 pro

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
1,166
1,532
Wakuu matumani ni wazima naomba kuuliza kati ya Samsung note 9 na redmi note 10 pro simu ipo ni nzuri nataka nichukue moja wapo kati ya hizo bei kwa sasa zinalingana
 
Hizi simu zimepigana bao sehem kadhaa... Samsung note 9 nzuri lakin inakosa vitu vipya.....coz ni simu ya mda kidgo...

Sababu za kununua note 10 pro

Utapata brand new sio refurbished kama hiyo note 9

Utaenjoy performance...note 10 pro kweny test za antuntu na geekbench imekalisha note 9

Utaenjoy fast memory 2.2 ufs

Utapata latest Android 11 compared na note 9 yenyew mwisho Android 10

Battery kubwa kweny note 10 sim inakaa sana na charge

Camera experience nzuri 108MP tena simu ina full google camera support hivyo utapata picha nzuri zaidi ukiwa na gcam

Quick fast charge ya watt 33 utachag haraka simu yako.tofaut na wat 15 za note 9

High developers support... xiaomi ana support nzur na kubwa kwa sasa kutoka developers..mfano unaeza ona ports za gcam karbia zote zina support mi devices

120HZ display,utaenjoy smoothness compared na 60hz ya note 9

Hayo ndio machache kwa haraka haraka utayofaidi compared na note 9

Kitu utamiss kutoka note 9..ni OIS kwenye camera na stereo video recording ambavyo kweny note 10 pro hutovipata...

So hapo kama ni mimi basi i ll go for note 10 pro...lakin piah kama unapenda sana Samsung basi a52 inakufaa ... ndio inachuana kwa karbu na note 10 pro kweny specs...

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Sasa a 52 mkuu naona kama ina bei kubwa kidogo kulinganisha note 10 pro au vp
 
Ila gpu za flagship zinakuwa kali sana, Adreno 630 ina nguvu sometime zaidi ya mara 2 ya Adreno 618, hivyo perfomance wise note 9 itakuwa vyema

Hizi simu zimepigana bao sehem kadhaa... Samsung note 9 nzuri lakin inakosa vitu vipya.....coz ni simu ya mda kidgo...

Sababu za kununua note 10 pro

Utapata brand new sio refurbished kama hiyo note 9

Utaenjoy performance...note 10 pro kweny test za antuntu na geekbench imekalisha note 9

Utaenjoy fast memory 2.2 ufs

Utapata latest Android 11 compared na note 9 yenyew mwisho Android 10

Battery kubwa kweny note 10 sim inakaa sana na charge

Camera experience nzuri 108MP tena simu ina full google camera support hivyo utapata picha nzuri zaidi ukiwa na gcam

Quick fast charge ya watt 33 utachag haraka simu yako.tofaut na wat 15 za note 9

High developers support... xiaomi ana support nzur na kubwa kwa sasa kutoka developers..mfano unaeza ona ports za gcam karbia zote zina support mi devices

120HZ display,utaenjoy smoothness compared na 60hz ya note 9

Hayo ndio machache kwa haraka haraka utayofaidi compared na note 9

Kitu utamiss kutoka note 9..ni OIS kwenye camera na stereo video recording ambavyo kweny note 10 pro hutovipata...

So hapo kama ni mimi basi i ll go for note 10 pro...lakin piah kama unapenda sana Samsung basi a52 inakufaa ... ndio inachuana kwa karbu na note 10 pro kweny specs...

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kwa sisi wapenda camera ni ngumu sana kuikosa OIS.
 
Wakuu msaada kidogo, wapi naweza kuipata hiyo redmi note 10 pro na bei yake kwa hapa DSM!?
 
Niliulizia Arusha, kariakoo na Morogoro mkuu. Ila wameniambia niwe na subira wameagiza HQ next week zitakuwepo.
Bei kiasi gani? Maana kuna simu naziona kwenye website ya Tigo ni ghali na dukani ni rahisi zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom