Zipi Simu nzuri za kununua kwa bajeti ya 200,000 - 300,000/=Kabla ya mwaka 2022 hujaisha?

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
169
Wadau na wataalam wa Simu ushauri kwa bajeti ya 200,000 - 300,000/= naweza pata smartphone ya aina gani nzuri.
 
Mkuu na bajeti kama yako

Lakini nimeona bora niitunze hii hela niongeze nichukue simu ya kuelewa

Nasubiria kuanzia November mpaka February hii miezi kampuni nyingi zinaachia mawe makali ya mid range

Kama unaweza tusubiri

Kama haiwezekani nashauri go for redmi 10C
Wadau na wataalam wa Simu ushauri kwa bajeti ya 200,000 - 300,000/= naweza pata smartphone ya aina gani nzuri.
 
Wadau na wataalam wa Simu ushauri kwa bajeti ya 200,000 - 300,000/= naweza pata smartphone ya aina gani nzuri.
Chini ya laki 3 kuna simu mbili
-Samsung Galaxy A03 (A03 na sio A03 core ama A03s)
-Xiaomi redmi note 9

Ila kama unaweza ongeza Budget kidogo nasikia Tigo wameshusha bei za Xiaomi redmi 10C mpaka 310,000 hii ni simu nzuri zaidi kwa hii Budget.
 
Ni smoooth,ina spidi ya mtandao,kioo kipana chenye picha nzuri.ina muonekano mzuri na inapiga picha nzuri.ina chaji kwa haraka n.k.
 
Attachments

  • Screenshot_20220704-231653_Chrome.jpg
    Screenshot_20220704-231653_Chrome.jpg
    146 KB · Views: 103
Kama ulivyoambiwa tafuta Redmi 10C
Ingawa kwa Tigoshop sijui bei yake lakini ukitumia simu yako kuangalia bei za simu Tigoshop utaona inauzwa kwa 375K, hii bei ni kubwa kwa Redmi 10C, 375K inapaswa kuwa bei ya Redmi 10, na sio Redmi 10C. Inaonekana Tigoshop bei ipo juu.

Kwa hiyo itafute tu huko mitaani Kariakoo n.k, Redmi 10C yenye 4GB RAM 64GB ROM unaweza kuipata kwa 310,000/= na ni chaguo zuri
Samsung Galaxy A03 ya 4GB 64GB unaweza kuipata kwa 270K Ila Redmi 10C ni nzuri zaidi
IMG_20230416_124750.jpg

Pia kama unatafuta used, options nzuri ni nyingi ila ni risky pia kununua simu used
 
View attachment 2589715
Pia kama unatafuta used, options nzuri ni nyingi ila ni risky pia kununua simu used
330,000 redmi 10C juzi tu hapa nilipitia. Na 12C ni 320,000 japo sio nzuri kama 10C ila sio mbaya kama hujapata 10C.
 
Back
Top Bottom