Fahamu kirusi kinachomaliza sana flash zetu

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฟ๐˜‚๐˜€๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ณ๐—น๐—ฎ๐˜€๐—ต !

Ghafla flash , memory card yako imeingliwq na virusi utafanyaje? Okay Leo nakuelekeza jinsi ya kuweza kuondoa kirusi anaitwa shortcut virus kwenye flash yako.

View attachment 2686205

Unajikuta Kila ukiweka kitu kwenye flash kimeliwa kinasoma 0Kb , ukiweka movie, Audio, file zote zinaliwa Je Huyu ni kirusi Gani ?

View attachment 2686204

Anaitwa shortcut virus ni kirusi ambaye anaweza kuathili flash yako na kuifanya kuwa 1kb Yani file lako la ukubwa 1Gb linakua 1kb. Huyu ni virusi ambaye ana hide files zako zote zilizopo kwenye flash (pen drive).

Utakuta file linabadilika na kuwa Adobe.vbs, au adobe.exe, au link inakua kwa mfumo wa kb kwenye memory au flash.

ukitaka kujua kama flash yako imeathiliwa basi utakutana na neno autorun.inf anakua ana run automatic mwenyewe kwenye flash baada ya kumchomeka kwenye PC.

images%20-%202023-07-12T211747.585.jpg


Kuna njia nyingi za kumuondoa Leo nakujuza kwa kutumia command prompt kupitia kompyuta yako (cmd).

- Fungua cmd as administrator unaweza search na ku run cmd as administrator

- hakikisha flash yako Iko comnect na kompyuta

View attachment 2686207

- andika E: Kisha bonyeza enter (inategemea na flash yako imesoma kwa herufi Gani)

- andika del *.lnk au del autorun.inf Kisha piga enter

- andika hivi attrib -h -r -s /s /d E:\. Bonyeza enter (kwenye herufi E weka herufi ambayo Flash au memory card yako imesoma)

show-hidden-file-attrib-command.jpg


Kama ikikataa kwenye sehemu ya autorun.inf weka .exe kuweza kumuondoa Huyo kirusi kwenye kompyuta au kwenye flash yako.

Njia nyingine kutumia Notepad
- fungua notepad Kisha andika hapo hizi

flash1%20%E2%80%93%203.jpg

Screenshot_20230712-211230~2.jpg


Ukishindwa tembelea page Yetu ya telegram kupakua file lake la kumuondoa Huyo kirusi kwenye flash yako !!

Tahadhari
Ukikosea herufi unaweza poteza data zako kuwa makini wakati unatumia

Usisahau kutu follow tags washikaji tujifunze sote si unajua Teknolojia ni Yetu sote View attachment 2686206
 
Back
Top Bottom