Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimepoteza simu wakuu, kuna namba muhimu sana humo. Kuna uzi niliuona humu ukiwa na maelezo (link) ya kupata namba kupitia Facebook. Msaada.
4 Reactions
28 Replies
40K Views
Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Idadi hiyo imefikiwa ikiwa ni chini ya wiki moja tangu Mtendaji Mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg alipotangaza kuuzindua, ambapo kasi yake inaonekana kuwa tishio kwa Mtandao wa Twitter. Wakati...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
[emoji189] Meta baada ya kuachia mtandao mpya wa threads umepata watumiaji zaidi ya milioni 30 watu mbalimbali waliweza kujisajili kwenye huu mtandao. [emoji189] Threads mtandao ambao unafanya...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
https://www.thearchaeologist.org/blog/the-mystery-of-romanias-living-stones-they-grow-reproduce-and-breathe
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu.. Naomba msaada wa kujua uwezo n storage hizi computer za chromebook. Kuna moja hapa nnayo ni ya acer na imekuja na lugha tofaut nmeshindwa kubadili lugha ila nmetafuta system...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Watu wengi wanaogopa kuingia kwenye setting za android Tv wakijua wanaweza kuhalibu mfumo mzima. Kwenye android Tv Kuna mambo mengi unaweza fanya ambayo ulikua huyajui kabisa 😁!! 1) Change...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu. Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Wataalama naomba maelekezo ya jinsi ya kufanya ili hii laptop icons zaa desktop zionekane Kama kawaida. Kwa sasa muonekano ni huu
2 Reactions
4 Replies
598 Views
Kwa yeyote anaefahamu bei ambayo mtu anaweza kutozwa pale anapohitaji mtu amfanyie video editing ya event like Birthday, marriage, graduation etc. Lkn pia poster huwa wanalipia kiasi gani wakati...
1 Reactions
7 Replies
603 Views
Mkutano huu ulifanyika Geneva nchini Switzerland ambapo Roboti zilijibu maswali ya wanahabari, zikiwa zimekaa au kusimama kando ya waundaji wao. Ama watengenezaji wa Roboti hizo Walithibitisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wataalam, naomba kujua tofauti ya hivi vifaa, hasa hii tower feni sijawahi kuitumia kabisa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Flash ikiwa inasoma katika PC yako ila ukiifungua hukuti Documents zako hapa kuna nini? Na je, utatuzi wake upoje Wakubwa?
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao...
17 Reactions
153 Replies
32K Views
Wadau kwa wale wanaotumia hii App j football tv naomba kujua kama channels zinazonekana kwenye hii app zinafunguka zote maana app yenyewe ni ya malipo kidogo tsh2000 kwa mwaka isiye ikawa ndio...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naandika hii thread nikiwa na masikitiko na machungu juu ya nchi yetu kutoruhusu kupokea pesa kwa platform maarufu duniani ya PAYPAL. Nimekosa mchongo kibao kwenye mitandao inayolipa kwa mfumo wa...
9 Reactions
76 Replies
19K Views
Nimejaribu kueka baadhi ya website zilizodukuliwa ndani ya mwaka 2015 ili tuweze japo kidogo kuona security ya site zetu nchini ikoje. JamiiForums | The Home of Great Thinkers hii ilipigwa Ddos...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Mwaka 2023, umetajwa kuwa mwaka mgumu sana kwa Wafanyakazi wa Tasnia ya Teknolojia duniani kote baada ya kugharimu tena ajira za makumi kwa maelfu ya wafanyakazi. Wakati huu, upunguzaji wa...
1 Reactions
1 Replies
636 Views
Wakili wa Elon Alex Spiro ametuma barua kwa Mark Zuckerberg akitishia hatua za kisheria, akidai kuwa Meta iliajiri wafanyakazi wa zamani wa Twitter kuunda App mpya ya Thead. Hili haishangazi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi Fellas! I am a freelance 3D artist mostly working with Architecture visualization. Ningependa kuwajua watu wengine wanaofanya kazi zinazofanana na zangu... nimewatafuta sana facebook bila...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom