Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimejaribu kufuata hatua watakazo ila.code sipati? Msaada
0 Reactions
7 Replies
605 Views
Ndugu zangu kwema? Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600 au ina kikomo? Msaada kwa anayefahamu. forgive me.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu. Ndugu zangu nahitaji kufahamu kama laini za Airtel hazikubali kwenye simu ndigo ya kgtel maana nikiweka kwenye simu nyingine inakubali vizuri lakini nikiweka kwe simu tajwa...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wataalam simu yangu imekataa kuondaa alama ya earphone. Hata nikichomeka earphone na kutoa bado alama hiyo haitoki. Hali hii imesababisha hata kukata sauti kwenye spika ya simu Ninaomba msaada...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari WanaJf, Nashindwa kujiunga we chat, kila nikijaribu inagoma ku-verify inataka ni-scan QR code. Naomba msaada wakuu.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu kwema? Naombeni msaada jinsi ya ku update app ambayo nimepakua kupitia Google na sio Playstore. App kama GB Instagram. Msaada kwa anaefahamu. Forgive me
2 Reactions
5 Replies
802 Views
Habari wakuu Leo ningependa kuongea na wadau ambao wanapenda kufanya electronics. Tufahamu kuwa technolojia inakuwa kila siku kwa speed kubwa sana lakini.. kitu kizuri ni kwamba katika kanuni...
7 Reactions
15 Replies
4K Views
Msaada wadau natafuta fundi Mzuri nasisitiza mzuri maana mafundi wa electronics "wengine" wabahatishaji. Hivyo kama unafaham fundi anae jua kutengeneza hizi external hard drive Naomba anisaidie...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau ivi kufungiwa whatsApp (ban) ni kutokufata zile sheria ZAO Au kuna kingine ,mana mm natumia whatsApp officiall ambayo ni whatsApp messager, juz waliniban nikawaomba walinifungilia nikazisoma...
0 Reactions
4 Replies
738 Views
Wakuu naombeni kufahamu course ya civil and transport engineering na civil engineering tofauti wa hizi course ni nini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Tafadhali kama kichwa kinavojieleza, nina shida ya kuwasiliana na mafundi wa fani hiyo walipo ndani ya mkoa wa kigoma.. Shida yangu kubwa ni kuwa kama watakuwa tayari basi niwe mwanafunzi tu...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Our records indicate that the following shipment has been delivered: Reference: 326-977-201312261019-1540540 Ship (P/U) date: Dec 26, 2013 Delivery date: Dec 31, 2013 2:21 PM Sign for by...
1 Reactions
275 Replies
34K Views
Habarini za jioni wanajukwaa Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho Nimejaribu kuichunguza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo interested na mambo haya ila nilipotaka kufatilia nilikuwa nazungushwa sana, nikaja kugundua kwamba hii kazi ya blogging wanaotusua ni wale wanaotumia njia nyeusi na ndio mana hawapo open...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina Sony home theatre, hivi karibu iligoma kuonesha any signals pale mbele kwenye kidude cha ku display. Nikaipeleka kwa fundi, katika uchunguzi alisema kifaa ambacho nimeweka...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari naombeni msaada namna ya kufungua account ya Twitter.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Watumiaji wa opera browser mnaarifiwa kuwa opera wameongeza Aria browser AI bot kwa ajili ya kuchat na wewe. Unauliza swali unapewa majibu. Ni kama ChatGPT lakini yenyewe haihitaji kulipiwa...
1 Reactions
5 Replies
626 Views
Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu). Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Sijaona robot ambaye yuko emotional kama yule wa Airtel. Nazani mama mpaka Leo anajua yule jamaa ni Robot. Kwa maana ile siku alimsifia kweli kweli , bila ya kujua ni mtu Na bado sijajua elimu ya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…