Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari wakuu. katika forum hii hakuna thread yoyote inayohusu cardsharing. kama kuna mtu yoyote anayefaham cardsharing basi atupe info. mambo ya c lines na kadhalika. target yetu kwa sisi africa...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Ultrafast Stars Discovered Racing Through Milky WayBy Tia Ghose | SPACE.com – 17 hrs ago Email Share408 Share2 Print Related Content View PhotoHypervelocity stars zoom around … Six...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
NDUGU WADAU MDA MREFU NIMEKUWA NIKITUMIA NET YA TIGO MAANA NDIYO ILIKUWA INABAMBA KWA SPEED HUKU UWANJA WA FISI-MANZESE BUT SIKU ZA KARIBUNI IMEKUWA MABOVU KINOMA COZ NET IMESHUKA VBY NA WAKATI...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kuna data nilizitia lakini nikitaka kuzifungua hazifunguki ni aina ya sonny
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Google inaendelea kujizatiti zaidi kwenye teknologia, soon watatoka na google glass. What is Google's Project Glass? Google's Project Glass is Google's attempt to make wearable computing...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna hii bando ya tigo ya 750sh, unlimited siku nzima, nimekuwa nikiitumia lakini kila nikifikisha GB1 basi network inaanza kusumbua, je kuna namna ya kulirekebisha hili?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Perhaps this is the hardest part of software development and decisions. This is so because it determines how the software will look like, technically speaking, how it can be easily extended...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanzoni ilikuwa inacheza vizuri lakn xaa hv nikitaka kuchek movie kupitia VLC inaniambia ADWARE
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Nina CD inayomuonyesha Sheykh Faridi mwenye kongamano lilofanyika Arusha akihutubia na kuwaahidi waislamu kuwa wao wanakwenda Zanzibar kuuteketeza Ukristo. Mwenye utaalamu naoma anisaidie.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
StartOS is an independent Chinese Linux distribution with the GNOME desktop tweaked to resemble Microsoft Windows XP. In the beginning it was based on Ubuntu, but starting from version 4.0 it...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nikiweka kitu chochote inagoma iki-display 'this disk is write-protected'. wakati flash yenyewe haina hata lock yoyote . Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Wakuu msaada wenu,natumia HTC radar simu ipo vizuri lakini sasa navyopiga au kupigiwa kioo kinakuwa undispray yani kinazima hakitaki kuwaka kabisaa mpaka ninaeongea naye akate simu ndipo kinawaka...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
I have developed a strange program code that you can run in your pc an transform your lets say 120 gb hdd into unlimited storage megadrive where you can store hundreds of thousands of terrabytes...
3 Reactions
73 Replies
6K Views
natanguliza shukran kwa wote mtakao nisaidia kupata hizo serials
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikikabiliwa na matatizo mawili mosi modem yangu vodafone inaconnect kwa tabu sana after many trials chakushangaza zaidi before nlikuwa natumia na line ya airtel lakin recently hata...
0 Reactions
1 Replies
912 Views
samahani,naombeni kujua bei ya iPad2 32 gb inayo support 3g network sim card pia naomba kujua bei ya ....blackberry bold inayorun blackberry OS 7. asanten sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Higgs Boson Particle May Spell Doom For the UniverseBy Clara Moskowitz | LiveScience.com – 13 hrs ago Email Share3711 Share33 Print Newly Discovered Particle Could Spell Doom for the...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
shalom, nimejaribu kuunganisha JDBC driver ili niweze access data kutoka kwenye NETBEAN bila mafanikio nimefuatilia video youtube lakini nikijaribu sipatio output yeyeto kwa anayefahamu kuanzia ku...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
heshima kwenu wakuu. nataka kununua photoprinter online kampuni ipi nzuri kati ya e-bay au amazon. maana ndio mara yangu ya kwanza. na nitafurahi zaidi kama nitaelezwa na ubora wa hiyo kampuni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu naomba msaada wenu, maana nimejaribu kusearch sipati kitu. Mwenye uzoefu na hili, msaada wako tafadhali... Natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Back
Top Bottom