Digital camera inahitajika

Digital camera inahitajika

dlink

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
69
Reaction score
18
Hello wadau,..
yeyote mwenye kujua wapi ntapata brand new Digital Camera (iwe SONY) anijulishe & bei ikibidi. Nipo Dar,.. Contacts: 0769741223 au niPM
 
Zinapatikana madukani nenda mlimani city pembeni mwa shoprite utapata na utaona aina tofauti
 
Mkuu ipo smart camera ya samsung galaxy ina wifi inatumia line yoyote ya simu ni kama smart phone application nyingi uzipatazo kwenye s3 zimo humu ni pm kama uko serious bei tsh 850,000/= ni mpya kwa cheki dukani bei yake kwa sasa ukinganishe na bei yangu
 
Back
Top Bottom