Mwenzenu nimejiunga na bundle la vodacom la unlimited one week. Ila kinachonishangaza nimetumia siku moja na leo eti nikiconnect inaniandikia connection terminated. Kama kuna mtu ana experience...
SAN FRANCISCO, Oct 24 Demand from the Asia Pacific region, the Middle East and Latin America is fuelling the growth of the low-cost smartphone market as well as manufacturers use of the...
Wadau kwa siku za hivi karibuni hizi modem za Vodafone k3770 na 3771 kwa kweli hazikubali kuistall kwwenye window x au vista zinaleta hii message(picha chini). hivi tatizo ni nini wadau...
Habari zenu guyz, naombeni mnisaidie tatizo langu kwenye desktop,Hishu ni kwamba siwezi ku login ninapoiwasha inatokea blue screen na maandishi yanayosomeka
STOP: c000021a fatal system error.The...
Amani kwenu wadau, natumai mpoa wazima..
natafta printer ambayo inaweza kuprint directly on tshirts. kwa yeyote mwenye information wap naweza nikapata
tafadhali naomba msaada!
thanks.
Toka nime instal windows 7 kwenye computer yangu naona webcome haifanyi kazi., nimejaribu ku download lakini bado tatizo lipo pale pale......... Naomba msaada wakuu.
Amazing Photo Captures 84 Million Stars in Our Milky Way GalaxyBy SPACE.com Staff | SPACE.com 17 hrs ago
Enlarge GalleryThis very wide-field view of the Milky Way shows the extent of the...
Habari, nina tatizo moja nimenunua cmu aina ya samsung galaxy s2 lakini nikaja kugundua ni ya china, ila nilivyotuma IMEI namba nimepata msg ya ku verify kama ni original, sasa tatizo ni kwamba...
Wanajamii habari za leo! Nina tatizo kuhusu hawa jamaa wanaojiita "A&A computers" wanahusika na uuzaji wa computer na utengenezaji wa vifaa mbalimbali kama photocopier,computer na vingine...
Hii ni copy na paste kutoka kwa mtu, nimejaribu leo, nimesave a lot of time for my literature review writing, wish ningejua hii kitu mapema!
Dont worry though, help is most certainly at hand...
Huwa nikifungua baadhi ya files katika computer yangu nakuta sehemu ya kwanza ya jina la file imefutika na badala yake jina linaanza na alama ~ halafu ndipo sehemu iliyosalia ya jina inafuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.