Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nina sim card ya Voda, hapo mwanzo ilikua haikubali ninapo jaribu ku connect kwenye Internet, baada ya mwaka kupita imekubali ku connect na haili bundle wala pesa ninapo Browse website au ku download. Ila ninapo kua maeneo ya kinondoni haikubali ku connect internet.. Tatizo linaweza ikawa nini?
Asanteni.
Asanteni.