naweza pata hii application 4 symbian 5230

Frank G

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
168
Reaction score
40
wakuu hiv hiz symbian 5230 hazina app. ya kuunzip app. ambazo zipo zipped maana kwa symbian kama E65, E71, & E75 naona zina hii app. Maana smtimes nkidownload app. kwa kutumia Operamini naikuta ipo zipped xo huwa naisend kwenye E72 then ndo nai unzip je naweza pata hii app. online wakuu?
 
umenikumbusha mbali sana, alafu hiyo 'symbian 5230' unamaanisha 'Nokia 5230' au? ok kuna ZIPMANAGER, HANDY ZIPMAN, WINRAR na WinZip kwaajili ya Symbian S60v5, kuna forum nzuri nilikuwa natumia na utapata vitu vingi vya simu ( ipmart-forum.com, noeman.org/gsm na forum.gsmhosting.com) Instal mojawapo kati ya hizi, inayokupa certificate error inahitaji kuwa signed achana nayo..
Note: handy zipman inahitaji Reg. keys hizi hapa ( 1=57886186 & 2=40292146 )
31866901.jpg
 
Attachments

asante xana mkuu😛oa:im on it:coffee:
 
Back
Top Bottom