saimon111
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,736
- 1,359
jaman habari zenu wanajamvii
mie natatizo hapa, nimenunua blackberry storm verzon, kila kitu inafanya kazi vizuri kasoro internet.....nikitaka kuingia kwenye internet inaleta message inase
" your device does not currently have any brower configuration service book entries. please contact your service provider to enable the brower on your device."
sasa nilienda voda-mlimani city jumamosi iliyopita kuna bwana mmoja mfupi (sorry), ndio anahusika na internet, akasema itakua locked coz kuna alama ameiona kwenye screen, lakini kwa mimi ninavyojua ile alama ni ya gps......sasa naombeni msaada wenu kama hili ni tatizo kama walivyosema voda au raha !!!
na kama ni tatizo nawezaje kulitatua kama itawezekana