Silas Haki
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 368
- 39
Habari zenu wakuu. Ninaomba msaada wa namna ya kuinstall WhatsApp kwenye Sony Ericsson WT13i maana nimeshindwa kuelewa kama ni Android, window, ipad, iphone n.k. Nimejaribu options zote lakini imenigomea. Simu hii ina touch screen na inakubali mambo mengi tu ya internet ikiwemo facebook, Opera Mini. Natanguliza shukurani kwa ushauri na utaalam wenu