Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
sio siri wana2nyanyasa ki2 kidogo 2 bei juu tena ukija kuchukua top yako vifaa wanakubadilishia kama hawana akili nzuri una 4gb ram unakuta 512 mb kama mshamba ndo utaamin wanakwambia eti virus vilibadilisha size