Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
wakuu kuna ki2 strange kinafanya nihic laptop ipo hacked mana kila nikikonect modem nackia milio ya clicks kwenye maefail afu ndo upload speed inakua kubwa sana hata ncpofanya network activity yoyote cha kushangaza nlinunua kaspersky antivirus afu ipo updated ila haidetect msaada tafadhali.