Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Unatumia Winrar ? kama jibu ni ndio nikujuze kwamba kuna tundu kwenye matoleo ya zamani limejizolea umaarufu kusambaza virusi, Virusi hivi vimekuwa vikiambatanishwa kwenye mafaili tunayoodowload...
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Oraimo ni brand ya mchina lakini mchina anayejielewa. Bidhaa zake huwa ni imara sana, kuanzia Charger, USB Cables, Ear Pods, Power Banks nk Kwasisi watu wa kipato cha kati hizi bidhaa zake...
11 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka kununua generator la 3.5 kva kwa ajili ya kuendeshea stationary, tanesco wamegeuka mwiba huku kijijini. Ni brand gani yenye generator bora zinazotumia petrol, naomba kupata vidokezo juu ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, Nina simu aina ya oppo 57 imetoa changamoto haimalizi kuwaka yaani inafika eneo la logo, nikamuulizia jamaa yangu ambaye kidogo hivi vitu anavifahamu yupo eneo tofauti na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nataka kuweka Azam Max mobdro na apps nyingine zenye akili cha ajabu. Naambiwa google play kwenye hii device haiwezi kudownload kama kuna njia nyingine. Naombeni msaada.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mambo yanazidi kushika Moto [emoji87] Duniani [emoji189]Serikali ya nchi ya china imezuia watumishi wa serikalini (wafanyakazi) kutumia simu za iphones makazini. Kupitia ripoti iliyotolewa na...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?! Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Natafuta mtu anayeweza kutengenezea CRM ya kiswahili. Iwe web based na app. Iwe nyepesi na inayoweza kuload haraka hata kwa internet isiyo strong. Hosting na kila kitu inakuwa kwenye servers zetu...
1 Reactions
13 Replies
944 Views
wadau nina zaidi ya vishikwambi 3 maarufu vya sensa (pritom tablet) zina shida ya kuandika emergency na kupoteza network kabisa. Mtaalamu anijuze namna ya kutatu hilo tatizo tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
942 Views
0 Reactions
1 Replies
374 Views
Wakuu niende kwenye hoja. Watu wengi wanatuma picha na makablasha mbalimbali Kwenye status page ya Whatsapp. Pia pale Facebook kuna Ile sehem ya stori. Kule kuna Instagram na maticktok binafsi...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Nimeamka asubuhi nataka kuingia WhatsApp wananiambia your WhatsApp number is banned from using watsap. Naombeni msaada namna yakuifungua saizi maana ninafanya upatu namm ndoninaechezesha MCHEZO...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Baada ya kusikia Apple Event Rasmi Tukio lao ni Septemba mwaka huu 2023 kukiwa na matarajio ya kuona simu,tablet na vifaa vingine vipya toka apple iphone 15, iphone 15 zinatarajiwa kuachiwa na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii technologia inamwezesha kipofu wa kila aina kuweza kuona.
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwenye IPTV Link za Azam tv anipe..! Natanguliza shukrani!
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu naomba mawazo yenu kuhusu used flagship za sony kama xz1, xz3 nk. Nyingi wanasema ni used from dubai na bei ni chee mno mfano xz1 ni 140,000/= sasa kwenye matumizi nitegemee nini? Ubora wake...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Hii simu nimeiokota nitawezaje kutatua tatizo hili.
2 Reactions
12 Replies
775 Views
Kuna aina nyingi za sabufa zimeingia tz aina ipi ni bora na inadumu wakuu.
1 Reactions
75 Replies
58K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…