Aina ipi ya sabufa ni nzuri

"Kuna aina nyingi za sabufa zimeingia tz aina ipi ni bora na inadumu wakuu."

sijakupata vizuri apo kwenye red mkuu
 
Kama ni kwaajili ya gari chukua KENWOOD ila Kwa matumizi ya kawaida tafuta mingo zipo vizuri pia bei ni ya wastani

mingo.JPG


mingo2.JPG



mingo3.jpg
 
Back
Top Bottom