iPhone ambazo hazitopekea iOS 17

iPhone ambazo hazitopekea iOS 17

Themann

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
3,844
Reaction score
16,095
Kama tunavojua apple wanapotoa toleo jipya la simu mfano iphone 15
pia hutoa na software mpya? Sasa hii hapa nakusogezea ili utambue.

Apple wameamua kuacha kuzipa updates simu hizi baada ya kuzipendelea kwa muda mrefu sana. Na kwa maana hiyo lengo lao ni kila. Mteja anae miliki kifaa chao aweze Kupanda matoleo ya juu zaidi.

Hili ni pigo pia kwa watumiaji wenye iphone X kushuka chini. Hizi ndio simu ambazo hazitopokea iOS 17 software updates

Iphone 8, 8+, SE, X
IMG_0954.jpg

IMG_0955.jpg

IMG_0956.jpg

IMG_0957.jpg
IMG_0953.jpg
 
Sijawahi kuonaga utamu wa IOS hata, bado android atabaki kuwa juu kwangu.

Ios ni nzuri kwenye security na mengine kitu wanacho zingua ni sehemu moja tu wavivu kubuni wallpaper mpya ios 16 main wallpaper ni 3 tu.ndio maana samsung kuna baadhi ya vipengele anazidi kuchukua credits
 
Sijawahi kuonaga utamu wa IOS hata, bado android atabaki kuwa juu kwangu.
Mimi kwenye simu cha kwanza ni freedom na iwe na peformance nzuri, security ni kipaumbele cha mwisho kabisa kwangu kwa sababu sionagi tofauti kwa watumiaji wa Apple ambao simu zao zina security kubwa, naona wote ni vilevile tu.
Android ndio unyama kwangu
 
Safari hii wamezibwaga simu mapema sana.iphone x ina miaka 5 tu toka itoke,wakati 6s imekula support miaka 7 n miaka 8 security update imepata.

Wameiruka xr na xmax maana ingekua wanapita mule kwa android miaka 4 na hawataki iwe hivyo.
 
Umeisahau xs nayo itapokea ios 17 x kushuka ndio hazipokei
 
Ios ni nzuri kwenye security na mengine kitu wanacho zingua ni sehemu moja tu wavivu kubuni wallpaper mpya ios 16 main wallpaper ni 3 tu.ndio maana samsung kuna baadhi ya vipengele anazidi kuchukua credits
Kama hadi leo hii unanunua simu sababu ya Wall Paper Options basi wewe bado hujakomaa au ni mtoto kiakili
 
Back
Top Bottom