Msaada wa kujua laptop yangu kama ina Sim Card Slot

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Naombeni msaada natumia hp notebook 15 generation ya 6 je na weza kujua kama laptop yangu ina sim card slot au haina?
 
Naombeni msaada natumia hp notebook 15 generation ya 6 je na weza kujua kama laptop yangu ina sim card slot au haina??
Angalia pemben ya laptop au kma inatoka betri toa uone kma ina slot. Usipoiona basi haina. Hata kma ukiiona sio guaranteed kama itasoma line. Sabab zingine zinakua zimetolewa card ya mobile broadband (WWAN card) so slot haifanyi kazi
 
Asantd sana kwa msaada nimekuelewa sanaa tuu
 
nani anazitoa,ykwangu kuna slot lakini wwna hakuna
Angalia pemben ya laptop au kma inatoka betri toa uone kma ina slot. Usipoiona basi haina. Hata kma ukiiona sio guaranteed kama itasoma line. Sabab zingine zinakua zimetolewa card ya mobile broadband (WWAN card) so slot haifanyi kazi
,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom