Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
๐ฉ๐ผ๐ฑ๐ฎ๐ฐ๐ผ๐บ ๐ท๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐น๐ถ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ผ๐ป๐ถ
View attachment 2757882
Jana Kwenye mtandao wa jamii forums kupitia mkurugenzi wa udhibiti wa hatari na utii wa sheria waliweza kuzungumza juu ya watu wanavyoweza kutambua utapeli na kuweza kuepuka.
[emoji189] Udukuzi ni hali ya mtu kuweza kupata uwezo wa kuingia Kwenye mfumo wako kama vile mitandao ya kijamii, fedha nk.
[emoji189] Pia social engineering ni mtu kuwa na uwezo wa kukulaghai na kuweza kupatq taarifa zako mbalimbali.
[emoji189] Meneja wa udhibiti matukio ya utapeli vodacom Dingo peter aliweza kuelezea mfumo wa social engineering ambapo umegawanyika katika njia mbili
โข kupitia mitandaoni
โข kukutana na mtu uso kwa uso
Kupitia Ana kwa Ana mtu anakua na uwezo wa kukutapeli kwa kuonana naye mtu anakuambia Anatoka kampuni ya vodacom na kukudanganya kwa namna moja au nyingine.
Anaweza kukuomba namba ya simu , huweke password kupitia mfumo wa screen record na kuona taarifa zako zote bila wewe kujua Kwaiyo ukiweka password anakua ameshapata password Yako.
[emoji189] utapeli mwingine kupitia ujumbe wa Sms unaweza kutumiwa ujumbe wa nafasi za kazi , umeshinda mchezo Fulani, umekua bilionea hivyo ikitokea umewasiliana nao basi unajiweka Kwenye hatari Kubwa ya kutapeliwa.
Pia mwingine anakupigia simu anasema ametoka vodacom na kukuambia kuna pesa imekosewa kutumwa kwaiyo wanakuomba urejeshe wakati huo wamekutumia sms isiyo ya kweli ripoti kupitia namba hii 15040.View attachment 2757881