Nataka nianzishe mradi wangu wa ku-flash simu za aina zote

Tafta chuma moja ya core i7 na kwakua iOS zinasumbua utaweza Virtual machine na kuwa unabadilisha tu Window to IOS
 
hakikisha una namba za kamanda polisi mkoa dar,ikiwezekana msevu kama mjomba au baba mdogo.
 
Uwe unaflash na za mkopo zinawasumbua sana marejesho wadada kama vikoba.
 
Fatilia kanuni za TCRA kuhusu kuchezea software za SIMU ikiwemo kuflash, kubadiri IMEI etc. Hawajaamua tu kuwakusanya.

Mil 5 au nyundo/Mvua za kutosha
 
Dah! Umechagua kazi ngumu sana. Maana ukiflash vimeo vya wizi tu, kila siku utakuwa unashinda mahakamani kutoa ushahidi.
 
Fatilia kanuni za TCRA kuhusu kuchezea software za SIMU ikiwemo kuflash, kubadiri IMEI etc. Hawajaamua tu kuwakusanya.

Mil 5 au nyundo/Mvua za kutosha
Ku change IMEI ndo restricted ila kwa software amna shida fatilia
 
Unajua maana ya ku flash lakin mkuu?
Sasa ku flash simu si ni sawa tu na kuisafisha simu completely! Au!! Yaani unatoa mpaka passwords, nk!!

Au wewe utakuwa una flash zile simu zilizozidiwa na ma file pekee mpaka zika collapse?
 
Sasa ku flash simu si ni sawa tu na kuisafisha simu completely! Au!! Yaani unatoa mpaka passwords, nk!!

Au wewe utakuwa una flash zile simu zilizozidiwa na ma file pekee mpaka zika collapse?
Wako watu wanao tia pass na ku sahau so ikioelekwa kwa fundi lazima ipigwe nyundo pia zipo simu ambazo zikiwa zinawaka zinaishia kwenye logo so hapo lazima ipigwe nyundo pia zipo ambazo network zinazingua ki ufupi tuwaache wenye kazi zao
 
Sasa ku flash simu si ni sawa tu na kuisafisha simu completely! Au!! Yaani unatoa mpaka passwords, nk!!

Au wewe utakuwa una flash zile simu zilizozidiwa na ma file pekee mpaka zika collapse?
Simu zote zinazo flashiwa sio za wizi
 
Back
Top Bottom