African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 779
- 1,355
Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django?
Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase).
Changamoto kubwa ya node js ni muda unaotumika kwenye kufanya setup na kutengeneza API's na complexity ya code.
Kwa tafiti nilizofanya mtandaoni, nimegundua watu wengi wanapendekeza Framework ya Laravel, Django, Go & Rails kutokana na urahisi wake na muda unaohitajika kwenye kutengeneza API's.
Ila nimetokea kuvutiwa na Django sababu nina background ya Python, na Laravel sababu ni inatumika na watu wengi hapa Tanzania na nimesikia ni rahisi kujifunza.
Je, mnashauri nijifunze Django au Laravel?