Jinsi ya kufungua simu ndogo ya batani kama umesahau Password yake

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Mar 13, 2019
1,638
4,210
Nina simu yangu ya batani Itel t5020, nimesahau Password yake, nifanye trick gani ili ifunguke?
Nimejarubu kuingia YouTube ila sijafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizp langu
 
Mkuu sijajua upo comfortable kiasi gani kudownload cracked box, kueka drivers, na kucheza na mambo kama hayo.

Wengi hutumia miracle box kutoa hizo mambo kama huna box la kulipia, ama Gsmaladin etc.

Tumia keyword chinese keypad ama chinese mobile na jina la box mbele. Mfano chinese keypad gsm alladin, search youtube utaona tutorials.
 
Chief-Mkwawa, Haiwezekani kuifungua yenyewe kama yenyewe, yaani bila kutumia box?
kwa sababu nimeangalia sehemu huko youtube nikagundua kuwa inawezekana kuifungua kwa kubonyeza batani fulani, ila tu mimi sijazielewa vema hizo batani! sasa wewe ni mzoefu nadhani utakuwa unayafahamu vema mambo haya.
kuna simu nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia vitufe, kile cha kuzima na kuwasha pamoja na vile vya sauti. sasa hii ni simu ya batani itel t5020 napata wakati mgumu kuelewa jinsi ya kuifungua kwa kubonyeza batani.
Nifunze.
 
Ya batani huwezi tumia volume up and down ukafaulu nikushauri tu tafuta crack ya alladin install kwa pc then driver ndo uweze kuondoa password by reading

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief-Mkwawa, Haiwezekani kuifungua yenyewe kama yenyewe, yaani bila kutumia box?
kwa sababu nimeangalia sehemu huko youtube nikagundua kuwa inawezekana kuifungua kwa kubonyeza batani fulani, ila tu mimi sijazielewa vema hizo batani! sasa wewe ni mzoefu nadhani utakuwa unayafahamu vema mambo haya.
kuna simu nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia vitufe, kile cha kuzima na kuwasha pamoja na vile vya sauti. sasa hii ni simu ya batani itel t5020 napata wakati mgumu kuelewa jinsi ya kuifungua kwa kubonyeza batani.
Nifunze.
Sijawahi kuona mchina akireset kwa combination ya button, Nokia za zamani ndio zilikuwa hivyo.
 
Wakuu mnisaidie. kila nikibonyeza power button na volume+ kidude cha android kinakuja na maneno 'no command. nifanyeje ku wipe data?
 
Unapoona No Command, Bofya Vol Up +Power Button kwa Pamoja kwa haraka Kisha unaachia. Au Vol up+Vol Down. Au Vol Down +Power Button fanya hivyo bila kuchoka utafanikiwa.
 
#0# Au #12345# kwa simu za Tecno na itel baadhi ambazo graphics zake hazitelezi (anza na alama ya nyota kabla ya kila #)
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom