Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Download free Soft wares, Activation keys, Games and tuitorials at JmJProduction
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Buy the bluetooth Bracelet now at sabasaba. For only 65,000tshs. Saba Saba Offer. We are located behind Alhasan Mwinyi Hall. Call 0764 468420 for directions when you are there. After sabasaba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina matatizo mawili. Kwanza; Kwa zaidi ya mwezi sasa compyuta yangu aina ya dell ambayo nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili, imekuwa too slow na tena hata kufungua internate ni shida kweli. Sina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Compyuta yangu DELL DIMENSION 9150 Inatumia OS WINDOW XP POSSESSIONAL Imeniletea letea tatizo lifuatalo. UNAPOFUNGUA KITU CHOCHOTE NA UKITAKA KURUDI NYUMA ILE ICON YA BACK NA FORWARD IMEPOTEA NA...
0 Reactions
3 Replies
705 Views
Jinsi ya ku download na ku install tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bandungu naomba msaada wa haraka. Kuna HDD yangu ya gb 500 imebakia na free space ya gb 9.4 tu wakati wala haina vitu vyenye size kubwa, na wala sijabackup windows. Nimetumia revo uninstaller...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada ktk hili nimejaribu kutumia apps tofauti kutoka google play tatizo nashindwa kuitumia app husika kuweza kudownload nyimbo au muvi.msaada kwa anayue fahamu plz
1 Reactions
10 Replies
3K Views
NDUGU ZANGU NAOMBA MSAADA NAMNA YA KU-UNLOCK MODEM YA AIRTEL HUAWEI e153u-2 PERMANENT.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,naombeni maujanja yakutoa hii kitu packet data connection internet nimejaribu nimeshindwa,simu yangu nokia e5
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau naomba kujua jinsi ya kudownload wassup katika simu yangu natumia samsung GT_ 7722.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau natanguliza salam, naombeni mwenye link ya hii kitu aniwekee jameni, sijui labda nimeshindwa ku search au la, shukrani za thati natanguliza
0 Reactions
9 Replies
2K Views
solar panel original hutengenezwa nchi /ni za kampuni gani? Ni hilo tu wakubwa nomba kuwasilisha!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamaa IDM yangu inaleta shida, inaleta option ya kudownload fresh kabisa ila video inayokuwa downloaded ni tofauti kabisa kuna video inayotokea ni jamaa flan hivi video inavyoanza anakuwa anajamba...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Nina matatizo mawili. Kwanza; Kwa zaidi ya mwezi sasa compyuta yangu aina ya dell (ambayo nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili) imekuwa too slow na tena hata kufungua internate ni shida kweli...
0 Reactions
3 Replies
904 Views
wadau naomba mnijuze kama inawezekana kufungia dish king'amuzi cha startimes.
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Habari zenu wanajamvi? Kwa kweli mimi ninapumua,Samahani saana nimesikia kuna uwezekano wa kutengeneza wireless kwa kutumia modem bila routers!plz how can this be done? natanguliza shukrani za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
.
NDUGU ZANGU NAOMBA MSAADA NAMNA YA KU-UNLOCK MODEM YA AIRTEL HUAWEI e153u-2 PERMANENT.
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Wasalaaam wakuu wa kazi. ISP gani mzuri na internet yake ipo efficient, awe na router kwasabau ofisi ina computer zaidi ya kumi na zote zinaitajika kupokea mawimbi ya internet. Ofisi ipo maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Habari zenu wadau. Nina tatizo na laptop yangu aina ya compaq presario F700 refurbished to F750US yenye windows 7, 32-bit os, 2.4gb ram, amd athlon (tm) 64 x2 dual-core processsor tk-57 1.90ghz...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliwasha Laptop yangu, ikawaka vizuri. Baada ya kuiacha kwa muda wa kama dak 5, ika-Sleep. Nilipotaka kuitumia sasa ndo nikashangaa kuona hai-display kitu kwenye screen. Nikajaribu kuizima...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom