Simu inauzwa! Simu inauliziwa!

Simu inauzwa! Simu inauliziwa!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,133
Wakuu, simu nokia asha 202 inauzwa imenunulia tar 2.8.'13 bado ni mpya sana, bei maelewano!
Simu ndogo pia inauliziwa yenye kukaa chaji muda mrefu, yenye conference call, na yenye blacklist! Kwa sasa nipo dsm! You are welcome!
 
mi nataka cm yenye mfumo wa android iwe laini moja.
 
hivi mnavyoweka tangazo la kuuza kitu halafu hamuweki bei huwa mnamaanisha nini?!
 
Back
Top Bottom