Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 151
HabarizaKaziwakuu.
Kama kuna mtu mwenye uzoefuwa Office Access naomba anisaidie. Shida yangu ni kuwa na database ambayo miongoni mwa vitu ninavyotaka inifanyie ni kunionyesha balance za items mbalimbali zilizopo kwenye stoo mudawowotenitakapohitaji. Stoo inamzunguko mkubwa wa bidhaa kuingiana kutoka. Nilichofikiria kwanza baada yakuandaa tables zote nilizozihitaji na kuzifanyia relationship, ni kwamba data zote za mapokezi niziingize kwenye table tofauti na data za utoaji, kisha matokeoya uingizaji data kwenye table hizi mbili niyapate kwenye query.Nimejaribu ku-create Simple Query ambayo ina fields;[Date] [Item], [Quantity IN] na [Quantity OUT] halafu nikaongeza calculated field ambayo inarudisha value; [Quantity IN]-[Quantity OUT], Nilichokuwa nategemea kukipata ni kwamba niki-apply filter kwenye field [Item] ya query kisha natumia aggregate function SUM ningepata balance ya item husika kwenye calculated field.
Lakini tofauti na nilichotegemea, ni kwamba hii query inarudisha dublicate record kwa kila entry na hivyo kunipa majibuyenyemakosa. Hivyonaombakamakunamtumwenyemchangowamawazojuuyanamnasahihiyakufikialengolangu.Natumia Microsoft Office 2010 yenye file format accdb. Pianilitakakujuakamakunauwezekanowaku-create form itakayo display matokeoya query badalayakuangaliakwenye datasheet view, nakamauwezekanouponaombamwongozo.
Asanteni.