Msaada kuhusu database ya kaspersky internet security 2013

Msaada kuhusu database ya kaspersky internet security 2013

Anniem

Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
31
Reaction score
1
habari wadau,
nimeinstall kaspersky internet security 2013 ila inaniambia database is obsolete.
Nikijaribu ku-update inagoma. naomba msaada
 
nenda kwenye site yao download software hiyo ya 2013, uninstall kasp kwny comp yako delete kasp kwenye registry hakikisha comp haina traces za kasp. install ile software uliyodownload then ingiza keys ulizopata kwny cd ikimaliza kuinstall anza kuupdate tena hakikisha una modem yenye speed maana kama ukipata ya mbwa kachoka hautaweza kuupdate. ukiuniintsall bila kufuta kaspersky kny registry itagoma kuinstall itakuambia kasp ipo kwny comp yako hivi ndo niolivyofanya maana mwanzo ilinizingua sana kuupdate nikafanikiwa kwa option hii nakula mzigo sasa swaafii. pole kama utakuwa hujaelewa nenda kwa fundi ukalipie
 
hakikisha mtandao unaotumia una speed ya kutosha na ipo kwenye 3G badala ya 2G
 
Back
Top Bottom