picha za simu ya samsung yenye kioo mbonyeo yaleak

picha za simu ya samsung yenye kioo mbonyeo yaleak

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,229
Reaction score
44,240
evleak ni maarufu duniani hasa siku za karibuni kwa kuleak vitu ambavyo hutokea kweli, ni mara chache sana kwa hawa jamaa kukosea na muda si mrefu wameleak simu ya samsung ambayo ina kioo kilichojikunja kwa kubonyea kwa ndani

samsungcurved_large_extra_large.jpg

curved.png

wana jf mpo tayari kukaribisha simu zenye vioo mbonyeo na mbinuko?

je unafkiri itaongeza nini kwenye experience ya mteja?

update simu imekua official
1.kioo ni inch 5.7 full hd super flexible amoled
2. proxessor snapdragon 800 ambayp ipo clocked katika 2.3 ghz krait quadcore
3. ram 3gb, internal 32gb na ina memory card
4. camera ya nyuma 13mp na mbele 2mp
5. bei dola 1000 kama milion na laki 6 inaanza kupatikana korea tu
6. battery ni 2800 mah
 
Samsung wangeacha hata watu wapumue kila mwezi naona wanatoa simu mpya
 
thats bussiness man! Hapo functions za simu ni zile zile ,ila new tricks za kuatract customers! Ubunifu .. Good job.
 
thats bussiness man! Hapo functions za simu ni zile zile ,ila new tricks za kuatract customers! Ubunifu .. Good job.
Ingekuwa ni iphone wamefanya hivyo ungesikilizia wapambe wanavyopayuka.
 
nimeona galaxy round. sasa familia ya galaxy imekuwa too much. yani sijui kuna galaxy ngapi mpka likizo
 
Nahisi kuna "mchezo wa kibiashara" unafanyika, haiwezekani kila simu ambayo inatarajiwa kutoka lazima i_leak. I doubt for this.
 
Nahisi kuna "mchezo wa kibiashara" unafanyika, haiwezekani kila simu ambayo inatarajiwa kutoka lazima i_leak. I doubt for this.

evleak analeak simu za manufacture karibia wote jamaa wapo kwa kaz hiyo, unaweza kuta hata kazi hana just ana maspy katika sehemu za kutengenezea simu tu.
 
Hawa jamaa wanatuchanganya walaji, kabla hamu ya hizi tulizonunu haijesha, wanatuletea nyingine! Wanafanya kazi kimachinga hawa.
 
TECNO ndo balaa kila wiki huwa wana toa kitu mpya,

kwei Chasha aisee. Tecno tokea waijue Android tunakoma. Wanapandikiza madude knm. Hafu hawana jipya zaidi ya kuongeza ukubwa wa screen, ram, processr, memor etc.

nategemea kuja iona Tecno transparent 2015.
 
Last edited by a moderator:

huwa kila siku nawambia tecno hatengenezi simu ye ananunua china na kueka brand yake
 
Last edited by a moderator:
Duh Usipokuwa Makini Utajikuta Una Simu Lundo
 
it odent make any sense yaani kila idea itakyokuwa innovated itakuwa na simu yake.mmhhh!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom