Msaada: Hii kitu iliwahi nitokea google

Msaada: Hii kitu iliwahi nitokea google

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,699
Reaction score
104,830
Habari wazee.
Kuna siku, nilikua la laptop yangu, nikafungua browser ya Mozira Fire Fox yenye home page ya Google.
Nilikua sina cha maana ninachofanya. Palepale katika search bar, sikumbuki niliclick nini nikaona pembeni kametokea ka sehemu kakuniruhusu ni upload picha, nika upload picha flani niliokua nimeidownload, ikasearch hafu ikaniletea websites kibao zenye ile picha.
Nilichoelewa ni kwamba, Imeichukua ile picha na kuanza kucheki je, inafanana na picha gani mtandaoni au je kuna website gani ina picha kama ile? Kisha ikaleta majibu. Na kweli nikiclick zile web, nilikua nakutana na hiyo picha.
Nakumbuka hii kitu ilitokea takrbani miezi 5 imepita. Ila sikutilia maanano.sana na wala sikujaribu kuweka picha zangu ambazo najua hazipo mtandaoni.

SWALI langu sasa.
Nani amewahi ona au.anafahamu hiyo service?
Inapatikanaje? Maana serious nilibahatisha tu kama John English.
Je, kuna app ktk play store au app store inauwezo wa kufanya mambo hayo?

Msaada wakuu wote.
 
google inaweza ku search web na image pia, unachotakiwa kufanya ni kufungua homepage ya google, itakuja search bar, kabla ya kuingiza chochote click kwenye image, then itakuja alama ya image mwisho wa hiyo search bar... hapo unaweza ku drag image kutoka kwenye computer yako na kuitupia kwenye serch bar then google ina i catch, ina upolad then inakuletea hiyo image imetokea kwenye web ipi...
 
nimekuelewa vema.sana mkuu. nitafanyia jaribio kesho mkuu.

vipi.kuhusu app kama unaijua (ya android or ios?)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom